Tv E hamna mkoa unaoitwa Songea

Tv E hamna mkoa unaoitwa Songea

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa S
28BDDB46-6CBE-45C5-8464-E1AF8E45AE49.jpeg
 
Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa SView attachment 2308001
Media za wenye Akili Kubwa Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Rwanda zinaajiri Waandishi wa Habari kwa Kigezo cha Taaluma ( Academic ), Umahiri ( Competency) na Akili ( Intelligence ) za Kwenu Kipaumbele ni wa Kike Kuvuliwa sana Chupi na wa Kiume Kuhonga 10% ya Mishahara yao, kuwa Chawa na Wambea Ofisini na Kujipendekeza mno kwa Mabosi ( Wamiliki ) unategemea kweli usione au usisikie Upuuzi huo uliouona na Kuusikia?
 
Dah kwakweli inafikirisha sana
 
Msumari wa moto
 
Songea Mkoa Wake Ruvuma
Moshi Mkoa Wake Kilimanjaro
Musoma Mkoa Wake Mara
Bukoba Mkoa Wake Kagera
Kibaha mkoa wake Pwani
Babati mkoa wake Manyara
Mpanda mkoa wake Katavi
Sumbawanga mkoa wake Rukwa
Bariadi mkoa wake Simiyu
Soon Ifakara mkoa wake Ulanga
 
Uvivu wa mtu huonekana hapo, Mkoa mkubwa kama huo mwandishi haujui jina lake.Tulikuwa tunafundishwa kwenye Jiografia kuhusu kilimo Cha mahindi Ruvuma.Wenyewe vijana wa siku hizi wanakuambia mada kama hizo zina umuhimu gani.Leo hii tunazalisha mapopoma kama hao , wasiojua hata Mikoa ya nchi yao na shughuli kuu za uchumi za Mikoa hiyo.
 
Back
Top Bottom