Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Uko sahihi,kosa la kimaandishi ilitakiwa isomeke Ruvumo badala ya Ruvuma......Sasa huyu hajui kabisa ndiyo maana kasema Songea
Sio kweli, mbona Millard ayo ana taaluma nzuri tu. Andiko Lako nilaupotoshajiMedia za wenye Akili Kubwa Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Rwanda zinaajiri Waandishi wa Habari kwa Kigezo cha Taaluma ( Academic ), Umahiri ( Competency) na Akili ( Intelligence ) za Kwenu Kipaumbele ni wa Kike Kuvuliwa sana Chupi na wa Kiume Kuhonga 10% ya Mishahara yao, kuwa Chawa na Wambea Ofisini na Kujipendekeza mno kwa Mabosi ( Wamiliki ) unategemea kweli usione au usisikie Upuuzi huo uliouona na Kuusikia?
Sasa huo weledi unatokea wapi kama wameshindwa kujua jina la mkoaNimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa SView attachment 2308001
Upumbavu wa huyo Uliyemjibu hauna tofauti na wa huyu mpwayungu village ambaye 24/7 anahubiri Kunichukia na Kutonikubali hapa Jamiiforums, lakini haachi Kunifuatili kwa Threads au Posts zangu.Sasa huo weledi unatokea wapi kama wameshindwa kujua jina la mkoa
Haya matoto sijui yanafundishwa nini huko shule siku hizi!!...namtoa mwanangu shule ya serikaliSongea Mkoa Wake Ruvuma
Moshi Mkoa Wake Kilimanjaro
Musoma Mkoa Wake Mara
Bukoba Mkoa Wake Kagera
Nimeshangaa sana Tv E ya Boss Majizzo ambayo imejaa waandishi vijana na wenye uweledi mkubwa kupitia kipindi cha michezo cha Number 10 kuandika mkoa wa SView attachment 2308001
ewaaaSongea Mkoa Wake Ruvuma
Moshi Mkoa Wake Kilimanjaro
Musoma Mkoa Wake Mara
Bukoba Mkoa Wake Kagera
Kwa kuongezea Sumbawanga - RukwaSongea Mkoa Wake Ruvuma
Moshi Mkoa Wake Kilimanjaro
Musoma Mkoa Wake Mara
Bukoba Mkoa Wake Kagera
Mkoa wa kilombero una-sound vzr kuliko ulangaKibaha mkoa wake Pwani
Babati mkoa wake Manyara
Mpanda mkoa wake Katavi
Sumbawanga mkoa wake Rukwa
Bariadi mkoa wake Simiyu
Soon Ifakara mkoa wake Ulanga
Nami nilifikiria hivyoMkoa wa kilombero una-sound vzr kuliko ulanga