TV E hii show ya Homa ni Homa kweli.

TV E hii show ya Homa ni Homa kweli.

God Fearing Person

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2020
Posts
767
Reaction score
2,570
Kwa ujio wa show ya homa ya TV E ni habari nzuri.

Kutokana na janga la corona Sikh ya ijumaa kuanzia saa 3 usiku kunakuwepo na show ya homa, unaangalizia Nyumbani kwako au YouTube au Insta Live au Facebook.

Media zingine Mjipange ...huu ndo ubunifu.

Show ya Ijumaa ya Konde Mjeshi Ilikuwa powa sana + Q chillah..mabangeez.
74214477_2465134010420209_375132274812780544_o.jpeg


Sent using Hapa Chadema tu
 
Back
Top Bottom