TV E ina nini na hawa wasanii??

Acha uchonganishi, hivi unaangalia muda wote? mbona zinapigwa sema wewe unapishana nazo tuu....
Kituo kisicho cheza nyimbo zao hao ni EATV/EARADIO..
Juzi tuu mavoko walikuwa nae mwanza
 
Hivi kwa nn mnapenda kutunga habari za uongo wakati jmosi ya wiki iliyopita rich mavoko alikuwa ktk show ya komaa concert iliyoandaliwa na EFM na wiki zilizipita nyimbo za WCB na hasa mavoko zimepanda sana, kama hamna kazi mkalale
 
We acha kupotosha umma mbona tvE na WCB shangwe tu .

Sent from my PHANTOM5 using JamiiForums mobile app
 
Ipo namba ngapi?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Fungua tv station yako mkuu upige nyimbo za wcb

Sent from my 1201 using JamiiForums mobile app

Nimependa hii, Stesheni zote zikifanana kimaudhui sasa watafanyaje Biashara?Ndio maana hata Efm wao wanapiga singeli kuliko nyimbo zengine;

Usikariri kaka,Jichangeni ukoo wenu huko Geita mfungur stesheni mpoge nyimbo za WCB
 
Wcb ni baba lao bongo ad Nigeria atupend kiki tuna promote wenyeewe kazi zetu ingia wasafi .com

Mi sio Hamorapa mi rayvanrapa dadeq zao etv

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
WCB
Hitsong
Mbeleko-rayvan
Tuachane-lavalava
Show me-rich mavoko
I miss u-diamond
Zezeta-rayvan
Acha nilewe -harmonize
Fire-diamond

Unataka nin ukose in wcb tunaweza kumake top 20 wenyewe maniner zao wote wasiyoipenda WCB

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Wcb ni baba lao bongo ad Nigeria atupend kiki tuna promote wenyeewe kazi zetu ingia wasafi .com

Mi sio Hamorapa mi rayvanrapa dadeq zao etv

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Zote izo azpo kwny top 30 yao
 
Hzo nyimbo zao znafundisha
Nn kwanza ndo wazipige
 
Mkuu nahitaji tu mshahidi wa yeyote anayeifuatilia hii channel aje kujiunga mkono....mana wana iyo top 30 hamna ata nyimbo moja ya wcb ila nyimbo ya msaga sumu mashine na if ya davido zipo hahaha ## tz no uzalendo..


Kama hawajaingia top 30 je?
 
Kuna dalili za kuwa mmelamba buku 7 pale WCB,maana si kwa kuipigania huku..

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…