Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Acha uchonganishi, hivi unaangalia muda wote? mbona zinapigwa sema wewe unapishana nazo tuu....Ni wiki sasa tangia nianze kuifatilia hii chanel ya tv E ilopo dstv....naona ni mpya mana kila time wanaplay music ila kinachonshangaza mimi ni kuwa sijawaiona ata siku moja nyimbo yoyote ile ya wcb ata kwa bahati mbaya alafu wanapga na nyimbo za Nigeria.....watz 2badilike hii station cjui ya nani ila haya mabeef na chuki zisifike mbali kiasi hichi......
Kituo kisicho cheza nyimbo zao hao ni EATV/EARADIO..
Juzi tuu mavoko walikuwa nae mwanza