TV E ina nini na hawa wasanii??

Kiukweli kabisa tangu nimeanza kufatilia kile kipindi cha top30 zaidi ya miezi miwili iliyopita sijawahi ona wimbo wa wcb ila siwalaumu, may be hawajakidhi vigezo vyao[emoji1]

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa uthibitisho mkuu
 
Kiukweli kabisa tangu nimeanza kufatilia kile kipindi cha top30 zaidi ya miezi miwili iliyopita sijawahi ona wimbo wa wcb ila siwalaumu, may be hawajakidhi vigezo vyao[emoji1]

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
ila ndo kwamba nyimbo za kina lulu diva na msaga sumu ndo zinavigezo ivyo
 
Video nyingi nzuri hasa za wasanii wanaofahamika lazima utaziona kwenye hiyo top30, ila sijawahi ona ya wcb, basi hata Show Me hawajaiona? Majibu wanayo Majay na Diamond

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Sio rahis top 30,ya BET ukose ngoma. Ya wcb wabongo chuki

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…