Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa uthibitisho mkuuKiukweli kabisa tangu nimeanza kufatilia kile kipindi cha top30 zaidi ya miezi miwili iliyopita sijawahi ona wimbo wa wcb ila siwalaumu, may be hawajakidhi vigezo vyao[emoji1]
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
ila ndo kwamba nyimbo za kina lulu diva na msaga sumu ndo zinavigezo ivyoKiukweli kabisa tangu nimeanza kufatilia kile kipindi cha top30 zaidi ya miezi miwili iliyopita sijawahi ona wimbo wa wcb ila siwalaumu, may be hawajakidhi vigezo vyao[emoji1]
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Video nyingi nzuri hasa za wasanii wanaofahamika lazima utaziona kwenye hiyo top30, ila sijawahi ona ya wcb, basi hata Show Me hawajaiona? Majibu wanayo Majay na Diamondila ndo kwamba nyimbo za kina lulu diva na msaga sumu ndo zinavigezo ivyo