TV E inakuja kubamba,mawingu hamna chenu

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
Kwa wiki sasa nimekuwa nikiitazama hii Tv stesheni ya TV E.Kiukweli niseme nawapa sifa zifutazo:-
1. Logo yao ni nzuri sana na waliodesign hii logo nawapa credit za kutosha.Ukiangalia logo ya Clouds fm haina mvuto na hata waliodesign hawakuwatendea haki clouds.

2. Graphics zo ni nzuri sana hata muonekano wake ikiwemo mpangilio wa rangi ni mzuri sana, kwa hili nawapongeza sana na nahisi wana timu ya watu makini sana.Clouds graphics zao ni mbovu sana na hata mpangilio wa rangi ni mbovu pia sijawahi kupenda muonekano wa Clouds

Mwisho niseme CLOUDS TV mjipange sana kwasababu soon mtakwenda kupoteza watazamaji kutokana na mpangili mbovu wa vipindi vyenu,muonekano mbaya wa Tv.TV E nawapa pongezi kwa mwanzo huu mzuri na nawatakia muendelezo mzuri ili mtoe changamoto kwa EATV kwani Clouds TV si mshindani kabisa.
 
TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.

Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
 
Yaani wanaboa hawana kipindi chochote cha kuelimisha zaidi music.
 
KUTOA UPINZANI KWA EATV WANATAKIWA KUFANYA KAZI KUBWA...MI NAWASUBIRI TV-E KWENYE UBUNIFU WA VIPINDI NA MPANGILIO MAANA HADI SASA EATV HANA MPINZANI.
 
TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.

Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
Wanapiga mziki 24/7 kwa sababu bado wapo kwenye miezi ya testing. Ni kawaida ya tv inapoanza kupiga mziki 24/7 hadi kipindi cha uangalizi au testing kitakapokwisha.
 
TVE inakipindi gani cha maana!?
Binafsi sijaona lolote la maana zaidi ya muziki 24/7 atleast Clouds wanajitahidi kidogo kwenye vipindi ingawa na yenyewe bado.

Hiyo TvE bado changa sana labda miaka saba mbele wanaweza niimpress.
Hujui uandikalo
 
Najiuliza swali moja tu clouds pesa hawana au vp tv kuwa na graphics mbaya vile
Majjizo ana miaka mitatu ila balaa lake kila mtu anakaa
 
CLOUDS MEDIA is powered by CCM. Na CCM wanapata support kutoka serikalini.!

Ndio maana akina KIBONDE wako huru kutukana na kuongea matusi redioni. Na hawachukuliwi hatua yeyote.

Ila bado kuna nafasi kwa media nyingine kufanya kitu chochote kizuri kisichotegemewa! Na sisi mashabiki kwa wingi wetu tutasapoti!

Kuna nafasi kubwa sana ya TVE kuendelea kujiweka sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…