TV4Sale TV Flat screen za aina mbalimbali zinauzwa

TV4Sale TV Flat screen za aina mbalimbali zinauzwa

clintononly

Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
25
Reaction score
12
Price -500,000/=

Condition-Used

Brand-Samsung

Screen Size-65.0 Inches

Tv display type-LED 4K END 2K

Tupo Mbeya mjini.

Mawasiliano whattsapp:0747175984

a7b624b4981608f7824fdfca4a33bbb070995144.jpg
27596f07eaf5d66cf32ab88f9b32463e3a6b4d2e.jpg
 
habari wana jamiforum,poleni na majukumu,mimi napatikana jijini mbeya kwa mtu anaeuza flat screen Tv na yuko mbeya au ving'amuzi anaweza wasiliana na mimi kwa namba whattsapp :0747175984

Napia anaetaka flat screen Tv Tupo mbeya Mwanjelwa au wasiliana nasi whattsapp:0747175984:

Nawakaribisha wote wateja.
 
kuna lile jamaa la kupatana linaweka tv inch 65 et 280 location mbeya ukilpgiwa lina sauti nzto lnakwambia liko igunga na imebaki moja ua nalichora sana mpka limen block
 
Jamani kwa mnaonitafuta kuhusu hii Tv imeshachukuliwa,ila kazi yangu ni kukuletea Tv ,lakini waliopo MBEYA TU,hii kutokana na urahisi wa kukutana na mteja ,,,
Sasa kama ni kwaajili ya MBEYA tu huku JF umefata nini? Hujui huku kuna watu wa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya TOZO/TZ?
 
Sasa kama ni kwaajili ya MBEYA tu huku JF umefata nini? Hujui huku kuna watu wa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya TOZO/TZ?
namanisha kwa yule ambae yupo mbeya inakuwa rahisi kuonana nae pia wa mbali akihitaji tunafanya biashara
 
Plasma ni tech ya zamani ni tv za zaidi ya miaka 10 iliopita hivyo ni kawaida kuwa rahisi.

Pia zinakula umeme sana, tunaongelea watts hadi 600 kwa inch zaidi ya 60, hivyo masaa 10 kwa siku ukiangalia TV unatumia umeme wa 2000 ama zaidi. Mwisho wa mwaka umetumia umeme zaidi ya laki 6 kwenye tv tu.
 
Price -140k

Condition: Used

Brand: sundar

Screen Size: 19.0 Inches

Tv display type: Full HD.

ipo hali nzuri kabsa ina muda wa mwezi mmoja tangu inunuliwe dukani.

whattsapp contact:0747175984.

Kama unahitaji Tv au unauza used Tv wasiliana nami hapo juu .

IMG_20211002_110306.jpg
IMG_20211002_110401.jpg
IMG_20211002_112140.jpg
IMG_20211002_112137.jpg
IMG_20211002_111634.jpg
 
Plasma ni tech ya zamani ni tv za zaidi ya miaka 10 iliopita hivyo ni kawaida kuwa rahisi.

Pia zinakula umeme sana, tunaongelea watts hadi 600 kwa inch zaidi ya 60, hivyo masaa 10 kwa siku ukiangalia TV unatumia umeme wa 2000 ama zaidi. Mwisho wa mwaka umetumia umeme zaidi ya laki 6 kwenye tv tu.
ok,nimekuelewa
 
Back
Top Bottom