Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Plasma ni tech ya zamani ni tv za zaidi ya miaka 10 iliopita hivyo ni kawaida kuwa rahisi.
Pia zinakula umeme sana, tunaongelea watts hadi 600 kwa inch zaidi ya 60, hivyo masaa 10 kwa siku ukiangalia TV unatumia umeme wa 2000 ama zaidi. Mwisho wa mwaka umetumia umeme zaidi ya laki 6 kwenye tv tu.
Shukrani sana mkuu