clintononly
Member
- Sep 30, 2021
- 25
- 12
ni kweli unacho ongea ,ila pia kutokana na uuzaji wetu wapo wanao hitaji hizi mkuuInawezekana kabisa
Siku hizi watu wanatumia smart tv.
Hizo LED, plasma Ni taka taka tu
apana unavo hisi ,labda kama umeamua kuchafua kiivo mkuuHaha[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba hasomi alama za nyakati
Jamani kwa mnaonitafuta kuhusu hii Tv imeshachukuliwa,ila kazi yangu ni kukuletea Tv ,lakini waliopo MBEYA TU,hii kutokana na urahisi wa kukutana na mteja ,,,Price -500,000/=
Condition-Used
Brand-Samsung
Screen Size-65.0 Inches
Tv display type-LED 4K END 2K
Tupo Mbeya mjini.
Mawasiliano whattsapp:0747175984
View attachment 1959311View attachment 1959312
Sasa kama ni kwaajili ya MBEYA tu huku JF umefata nini? Hujui huku kuna watu wa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya TOZO/TZ?Jamani kwa mnaonitafuta kuhusu hii Tv imeshachukuliwa,ila kazi yangu ni kukuletea Tv ,lakini waliopo MBEYA TU,hii kutokana na urahisi wa kukutana na mteja ,,,
ndio mkuuNi used kwa Tanzania?
namanisha kwa yule ambae yupo mbeya inakuwa rahisi kuonana nae pia wa mbali akihitaji tunafanya biasharaSasa kama ni kwaajili ya MBEYA tu huku JF umefata nini? Hujui huku kuna watu wa kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya TOZO/TZ?
sawa mkuuWeka picha halisi sio hizo za ku download
hahahahahaaa ,Hiyo Tivii ipo mbinguni nini?
Mbona imezumgukwa na mwanga mweupe
Hizo smart pia ni led. Mtaani tu wanakosea.Inawezekana kabisa
Siku hizi watu wanatumia smart tv.
Hizo LED, plasma Ni taka taka tu
kwa nnHizo smart pia ni led. Mtaani tu wanakosea.
Plasma kweli unapata hio bei, ila led hupati hata used.
hahahahahahaHiyo Tivii ipo mbinguni nini?
Mbona imezumgukwa na mwanga mweupe
Plasma ni tech ya zamani ni tv za zaidi ya miaka 10 iliopita hivyo ni kawaida kuwa rahisi.kwa nn
ok,nimekuelewaPlasma ni tech ya zamani ni tv za zaidi ya miaka 10 iliopita hivyo ni kawaida kuwa rahisi.
Pia zinakula umeme sana, tunaongelea watts hadi 600 kwa inch zaidi ya 60, hivyo masaa 10 kwa siku ukiangalia TV unatumia umeme wa 2000 ama zaidi. Mwisho wa mwaka umetumia umeme zaidi ya laki 6 kwenye tv tu.