TV4Sale TV Flat screen za aina mbalimbali zinauzwa


Shukrani sana mkuu
 
Bei-170k

brand-Tandar

condition-used

Display-HD

screen size-22inches

Umeme matumizi-inatumia umeme wa kawaida na solar power

ipo hali nzuri .

Mahali-Mbeya mjini(Hali ya hewa).

mawasiliano call/whattsapp:0747175984
 
Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.

special treand 2021 jitangazie biashara yako hapa wana ndugu.

Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;

1. Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza
2. Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na picha yake halisi.
3. Taja bei
4. Taja mahali huduma/bidhaa hiyo inapopatikana pamoja na mawasiliano yako.(Usiwaambie watu wakufuate PM kwa Mawasiliano. Weka namba ya simu)
5. Weka taarifa mpya kuhusu bidhaa hiyo kwenye uzi husika, usianzishe uzi mpya.
6. Usiweke tangazo moja mara nyingi.
7.matusi au lugha isiyo pendeza kwenye biashara ya mwenzio haitakiwi.
8.jibu unapokuwa unaulizwa kuhusu bidhaa yako kulingana na swali sio vingine.

Ni vyema kuzingatia hatua hizo chache. Kinyume na hapo, tangazo lako litaondolewa hewani.
 
Nauza Tv used aina zote ambazo zipo kwenye hali nzuri,Bei ya kawaida kulingana na tv unayo taka,napatikana jijini Mbeya.
mawasiliano call/whattsapp:0747175984.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…