Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Sawa mkuu bei gani na vipi kinasauti ya kutosheleza kweli?Natumia charge 5 inanitosha
Yaan sauti na bass kujaa kwenye room au sauti ya wastani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu bei gani na vipi kinasauti ya kutosheleza kweli?Natumia charge 5 inanitosha
Shilingi ngapi charger five hapa bongo?Natumia charge 5 inanitosha
Sijanunua bongo leta 350k nikuachieShilingi ngapi charger five hapa bongo?
Uliagiza kutoka china mkuuSijanunua bongo leta 350k nikuachie
Uliagiza kutoka china m
Sipendagi Manyaya nyaya yakae hivyo Mimi!!!!Na hii nimeinunua last year desember mnyama lg bado ananitendea haki. Maamuzi kwako wala siongezi au kupunguza neno.
View attachment 2923200
Mpaka inakufikia iligharimu kiasi Gani mkuuAmazon
380KMpaka inakufikia iligharimu kiasi Gani mkuu
Sorry maswali yemekuwa mengi