TV gani zinaonesha AFCON 2017

TV gani zinaonesha AFCON 2017

Tbc2 [emoji482][emoji482][emoji482][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dstv ss select1 mwisho wa maneno.Anayemueleza mechi saa 4 anakupoteza .Game ya kwanza Gbn vs gbissau imeshakata muda mrefu Ngoma imetoka droo moko moko.
 
Hivi wadau mnaomjibu huyu mkuu, mbona ni tofauti na alivyo uliza? Yeye anataka jua ni tv gani sio channel gani, au mi ndo Kiswahili sijui?
 
Back
Top Bottom