profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Wakuu, nimenunua TV ya kichina mpya, iko vizuri tu.
Ila cha ajabu kwenye kona juu kulia, inaonesha alama ya battery na 100%, sijui inamaanisha nini?