The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
WasalimieIpo laki 8 kama muafaka kesho tufanye biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WasalimieIpo laki 8 kama muafaka kesho tufanye biashara
Wacha weee😅Naona umejiuliza swali 🤣🤣🤣
Mkuu hii si akaunti yako ss unajiuliza tena ilihali mzigo upo nayo mwenyewe😂🤔🤔
Mawinga nux wanaangalia matumbo yao badala ya biashara ya tajiriKuna kipindi nilikwenda show room moja kununua gari. Mwenye show room alikua hayupo wapo chawa. Nikauliza Bei ya gari, chawa kantajia Bei, nikamuuliza, je ikipoa? Kanijibu haishuki hata Mia. Nikamuambia chukua namba yangu Kati ya Leo na kesho Bei ikipoa nipigie hela iko mufuko ya shati. Chawa kakomaa, nikaenda zangu kijitonyama nikakuta gari Ile Ile Bei iko chini kwa milioni mbili halafu bado nikapozwa. Nikalipa fasta nikasubiri kesho yake nije kuchukua gari baada ya usajili.
Si ndio chawa kaanza kunitafuta na kuanza kushusha Bei. Nikamwambia I gave you 24 hrs. Time is up.
Nikawa napita Ile mitaa gari nikawa naiona haijapata mteja Hadi ikaanza kutu.
Mawinga ndo madalali wenyewe hao usipokua makini wanakufanya biashara yako iwe ngumuMawinga nux wanaangalia matumbo yao badala ya biashara ya tajiri
View attachment 3002354Bei ya Tv 1.2m (Fixed Price)
Warranty 3yrs
Used : Imetumika 1 month mpaka sasa.
Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui)
ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
Hisense haipo, utapata Kampuni nyingine kwa 1.3m ni MPYA na ina warrantyMkuu TV bado ipo?
Kama uko tayr tufanye exchange nkupe samsung 50 inch smart tv na hela unipe hyo ikifaa tuonane pmBei ya Tv 1.2m (Fixed Price)
Warranty 3yrs
Used : Imetumika 1 month mpaka sasa.
Milioni 1 na Laki Mbili (Bei haipungui)
ipo Dar es Salaam - Kibanda cha Mkaa.
View attachment 3002354
Used?utachukua 55 ya kampuni ingine tofauti na hisense?