Tv online za bongo 92% hakuna ubunifu wala kutofautiana, zote zinafanana

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza.

Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya umfatilie.

Mpaka sasa tv online ni udaku yani habari moja kila mtu ndio anafatilia ni kero utazani wapo stendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…