Umbea unasema Prison Break ilikuwa iishie ile season ya kwanza tena mapema tu ile wakati michael anatoroka halafu akakuta sarah anavamiwa na wale vichaa pale ndio ilikuwa wabreakther has never been like 24 for my side!! ever!!
Hii nikita nayo inakuja kwa kasi naikubali.. Prison niliipenda but mwishoni walinichefua kidogo...walizungusha zungusha mambo pale kuhunihuni hivi...
kwa tamthilia La revancha ilinishaika hasa...sijawahi kuangallia tamthilia tena baada yake maana zote naziona zimejaa mapenzi mengi tuu...
Hahahaaa Canta usijali mama, mi ninazo mpaka 20 si unajua wanatoa kidogo kidogo....... halafu naona kama inaelekea mwisho hivi labda kukutamanisha tu Semac ameuwawa na Ari halafu Percy karudi kuongoza DivisionHiyo NIKITA wajaeni mweeeee!
Naipendaje ila sijapampata wa kunipa yote lol hahahah!yaani series nzima jaman!
Nimeishia season 2 epsode ya 16,kwa mwenyenayo epsode za zaidi ya hapo anisaidie lol!
Samahani Musimo Jr kwan hapa nimepitiwa na kuweka tangazo hahahah!
duh...kweli huo umbea....yaani iishie season ya kwanza!!??Umbea unasema Prison Break ilikuwa iishie ile season ya kwanza tena mapema tu ile wakati michael anatoroka halafu akakuta sarah anavamiwa na wale vichaa pale ndio ilikuwa wabreak
wakati huo huo Percy anahaha kusaka mavumba baada ya minoti yake yote kupigwa mizinga....!!!Hahahaaa Canta usijali mama, mi ninazo mpaka 20 si unajua wanatoa kidogo kidogo....... halafu naona kama inaelekea mwisho hivi labda kukutamanisha tu Semac ameuwawa na Ari halafu Percy karudi kuongoza Division
Khaaaaaa!Hahahaaa Canta usijali mama, mi ninazo mpaka 20 si unajua wanatoa kidogo kidogo....... halafu naona kama inaelekea mwisho hivi labda kukutamanisha tu Semac ameuwawa na Ari halafu Percy karudi kuongoza Division
Jacobs CrossNikiwa mdogo kabisa nilianza kuwatch series aka tamthilia kwenye tv enzi hizo tamthilia kama
- Isidingo the need
- The sunset beach
- The young and the Restless
- Kidogo sana Days of our lives
- The bold and the Baeutful
- Baadae Passions
- La mujer De mi vida
- La Revancha
- na mwisho kwenye mfumo wa tv za kibongo nikawatch ile ya yina (sijui ilikuwa inaitwaje)
Baadae nikaachana na hizo maana sasa zikaanza kuboa na kila mtu anawatch na unakuta ziko kila station tena muda mmoja nikaloose interest na ndipo nikaanza kuwatch za kwangu kwenye ka tv ka home kabla sijapata laptop. Nikaanza na
Mpaka zilipoanza kuniboa nazo kasoro Prison Break na Heroes ambazo niliziwatch mpaka mwisho.
- Prison Break
- 24
- heroes
- lost
Tangu hapo nimekuwa addicted to tv series ambapo nimekwisha watch more than 50 series zenye urefu tofauti na mpaka nyingine nimezisahau majina. baadhi ni kama
Na kadhalika kibao maana nyingine hata majina sizikumbuki tena
- Sex and the city seasons 1 - 4
- accidentally on purpose
- merlin
- xena
- lie to me
- the oc
- kyle xy
- the tudor
- spartacus (blood and sand na Gods of the arena)
- Starget sg1
- Starget Atlantis
- leverage
- are we there yet?
- californication
- glee
- tru blood
- vampires diary
- Nikita
- 4400
- The L world
- the event
Sasa katika zote hizo these are my favorite
- Prison Break
- 24
- 4400
- na ile ninayoiwatch kwa sasa ingawa wananipa vipisi vipisi NIKITA
what are your favourites?
Hiyo NIKITA wajaeni mweeeee!
Naipendaje ila sijapampata wa kunipa yote lol hahahah!yaani series nzima jaman!
Nimeishia season 2 epsode ya 16,kwa mwenyenayo epsode za zaidi ya hapo anisaidie lol!
Samahani Musimo Jr kwan hapa nimepitiwa na kuweka tangazo hahahah!
Love is blindooooCantalisia baby,
wherever I see your username, my heart goes up and up,
like The Eifel Tower, and keep floating like a boat in The Rhine along Ruhr and Westphalia,
keeping a pause in Gienselkirchen,
then all way long to the Black Sea, through Donestk and Kyiv...
Ooh, am I poetic?
Mi nilivutiwa na Makutano Junction wakuu, at the time I was never out of sight when it was called Friday, and time turns 2030, that was amasing bwana!
Samahanini kwa kuweka tangazo wakuu.
Love is blindoooo
Nikiwa mdogo kabisa nilianza kuwatch series aka tamthilia kwenye tv enzi hizo tamthilia kama