LALOLA naikumbuka niliitizama kidogo, nilipenda kale ka sehemu alikoenda kufanyiwa waxing ile ya kubandua vinyweleo dah ilikuwa very funnyasee kunaa mojaaa niliipendaa sanaaa..........{LALOLA}jamaa aligeuzwaa demu na akajaa kupendaaa kikweliiii mwanaumeee
afu kuna kitu Lost...dah wacha kabisa!!
Njoo nyumbani kwangu unitembelee nitakuazima Cantalisia
Haya Canta kama umeshindwa kufanya yale makeke nenda kwa FL ukaazimishwe
mama yake alex alishamuokoa mda tu saiz yuko safe na alex ameungana na kina Nikki, Michael na Shadow walker (Berkof) ili waweze kuibemenda division vizuri...Percy nae anahaha kutafuta pesa, alimuibia Berkof hela zake zote ila wakaziwahi na kuzitia moto gari zima....utamu unaendelea....Hebu nimegee kidogo kuhusu Alex na harakati za kumwokoa mama yake,na kuhusu uhusiano wake na NIKITA baada ya kuwa na bifu na kukimbiana na vp wabaya wa mike hawajajua km ana mtoto mahala!
yaaan utamu wooote wa Lost uko kwenye season ya mwisho pale....hii sikuimaliza ila ilikuwa funiko
Jmosi naenda kushinda kwake mpaka nimalize epsode ya mwisho kbs!
tafuta entourage na boondocks yaani hizi ni dunia nzima
tafuta entourage na boondocks yaani hizi ni dunia nzima
embu nidokeze kidogo kuhusu hii 4400...kama inantamanisha hivi...!!Yeah the event nayo kali asee.......sasa the event inafanana fanana kidogo na 4400
Hii ni kuna watu walichukuliwa katika miaka tofauti kuanzia 1936 mpaka wanarudishwa wakiwa 4400 tena wakiwa na umri uleule ambao walikuwa nao wakati wanaondoka duniani. Sasa nao hawajui walikuwa wapi na kwao hata hawahisi kama kuna siku imepotea, kizuri ni kwamba wanakuja na ability tofauti tofauti hapo ndipo utamu ulipo maana wengine ni evils wengine wanaprotect matendo maovuembu nidokeze kidogo kuhusu hii 4400...kama inantamanisha hivi...!!
kwa wewe unaependa movie za ki detective kuna kitu kinaitwa CSI..(Miami au new york) ...full maupelelezi kwa kuumiza kichwa mpaka utabloo mweyewe...The Good Wife nimeicheki hadi season 2 ni nzuri sana. Ukicheki ndo utajua madetective wa mbele wavyojua kukusanya evidence. I would recommend this to any lawyer. Apart from being entertainment it will also offer knowledge to sharpen legal experience.
I think na mi ntaifuta hiyo pia, unajua theres a lot of learnings katika hizi vitu kwa mfano ukiwatch lie to me utajua mbinu zinazotumika kumjua mtu anayesema uongoThe Good Wife nimeicheki hadi season 2 ni nzuri sana. Ukicheki ndo utajua madetective wa mbele wavyojua kukusanya evidence. I would recommend this to any lawyer. Apart from being entertainment it will also offer knowledge to sharpen legal experience.