BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Dah haiwezekani nilikuwa sijaiona hii post nami naishusha leo leo tena faster asee kama imeshatokanikki epsode ya 21 now available : Download Nikita S02E21 480p HDTV x264 mSD Torrent - KickassTorrents
Hahahahaaa Mbona hujasema ulikuwa unapenda Sauti ya Godfather.........The Godfather (Niliiwatch kitamboo,imesimama mbaya)
The Tudors (Nimeimaliza, loved the monarchy history)
Two & a half men (With Charlie Sheen, amazing comedy)
Modern Family (Sofia vergara's accent, funny!)
Big Bang Theory (Oooh! Sheldon, full vituko)
Eastenders (I like Tanya na anavyovaa)
Dah mi egoli haikuwahi kunivutia tena niliiangalia kidogo sana wakati ule ameenda kuigiza scene chache Sauda Kilumanga. Isidingo nilikuwa naipenda ile ya zamani ya kina Derick Nyati (sasa ana act kwenye Jacobs Cross) Philipa, Clin dah ilikuwa kali ila walipobadilisha watu kibao ikaboaLa revanja ya kina Ray, Alehando na Guilamo Arcinega.
2nd Chance,
Kuna ile ya Kina Preta na mwanae Rai,
Jumong ya kina Jumong, Taesso, Mo Palm, Hyoppo, Susuno nk
Egoli na Isidingo ziliniboa kutokana na kwamba ndefu sana
Na kwa wale wapenzi wa mtaalam Jack Bauer, yuko kwenye series mpya inaitwa Touch nafikiri ndio kwanza iko episode ya 8 so mnaweza kuanza kufaidi
Ingia kaka
@M'Jr, pliz tel me u r in dar and dat u have
1. lie to me
2. r we there yet
2. nikita s2e21 na kuendelea...
secreto de amor, (check spelling) ndio tamthilia pekee niliyowahi kuifatilia, i remember barbara (maria clara's nightmare), maria clara (beautiful humble woman) losandro, na yule dada yake maria clara chakaramo ambaye walikuja kugundua kuwa hawakuwa ndugu.