TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

japo hatukua na tv kwetu lakini niliifatilia kuliko mwenye nayoo
7. La mujer De mi vida
8. La Revancha
 
japo hatukua na tv kwetu lakini niliifatilia kuliko mwenye nayoo
7. La mujer De mi vida
8. La Revancha
Hahahaahaa "Barbarita na Soledad aka Solita eeh"
 
me ilikuwa inanikuna Passion, bibi Tabitha na mjukuu wake Timmy.
kulikuwa kuna mrembo jina limenitoka kidogo alikuwa anampenda sana Ethan.
 
me ilikuwa inanikuna Passion, bibi Tabitha na mjukuu wake Timmy.
kulikuwa kuna mrembo jina limenitoka kidogo alikuwa anampenda sana Ethan.
Alikuwa anaitwa Theresa aka Teresita, halafu kaka yake alikuwa hata hataki kuisikia ile familia ya kina Ethan lakini yeye akawa anampenda Sheridan mdogo wake Julian
 
wacha wewe enzi hizo naenda kucheki ''chini ya mti'' sanawari-Jijini Arusha
Hahahahaaa lazima ulikuwa unaenda jumamosi marudio ya siku nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…