Hakuna ambazo unaweza weka decoder na music system?Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sanaView attachment 3220296View attachment 3220297
NAKAZIA 📌🔨MIchoro iko poa, shida ni mafundi wa kuzitengeneza.wengi ni vimeo
shida hizi kazi nyingi hapa kwetu zinafanya localy kwa sababu wataalamu si wengi wa interior design hata waliokuwepo bado hawafanyi to the standard kuliko majirani zetu kenya.MIchoro iko poa, shida ni mafundi wa kuzitengeneza.wengi ni vimeo