Tv show cases series

Tv show cases series

1738364513196.jpg
 
MIchoro iko poa, shida ni mafundi wa kuzitengeneza.wengi ni vimeo
shida hizi kazi nyingi hapa kwetu zinafanya localy kwa sababu wataalamu si wengi wa interior design hata waliokuwepo bado hawafanyi to the standard kuliko majirani zetu kenya.
mbaya zaidi hata kozi za interior design zinatolewa pale ardhi tu. nina passion sana ya interior design hasa kufanya kazi kiprofessional zaidi. nimeanza kujifunza program za kudesign binafsi. natamani nisomee kabisa kozi bahati mbaya niko mbali na ardhi university
 
Back
Top Bottom