Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani
Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sana
Ili kutengeneza kitu imara cha kuvutia na kudumu epuka mbao laini zile za kupigwa puti na rangi.. Mbao asili ndio hupendeza na kuvutia sana na ni imara sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.