GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Led or lcd hizo ni aina ya kioyoo, kuna cha kigae na kama plastic.
Kwa hiyo ukisema plasma unamaanisha nini?
Ghibuu, hizi smart tv ziko hapa bongo?
Na hicho kifaa ulichosema hapo juu kinapatikanaje au wapi na utakitumiaje?
Led or lcd hizo ni aina ya kioyoo, kuna cha kigae na kama plastic.
Kwa maelezo uliyo paste hapo juu ni dhahiri kuwa plasma ni display technologies kama ilivyo LCD na LED. I think LED is the most recent technologies za display.
Swali uliloulizwa na KANDIRI bado liko pale pale, Je hiyo doongle inafanya kazi na plasma TV peke yake au hata LCD na LED?
Smart tv zipo bongo, binafsi nina tv plasma, natumia hio dongle, ni mini pc 💻 ukichomeka katika tv yako una connect na Internet by wifi. Unaingia Google, Facebook, Skype, download apps, unaangalia tv online. Na mengineyo.
Kama tv yako ni smart, hauto hitaji hicho.
Vinapatika eBay,Sijui tz
Nitajuaje kama tv ni plasma? au inakuwa imeandikwa? Ni how much?
Nisaidie namna ya kupata hiyo ndongle, na ni how much
Sijawahi kufanikiwa kununua kitu ebay, nikijaribu inasema sijui technical error, report.
Help pls
Smart tv zipo bongo, binafsi nina tv plasma, natumia hio dongle, ni mini pc  ukichomeka katika tv yako una connect na Internet by wifi. Unaingia Google, Facebook, Skype, download apps, unaangalia tv online. Na mengineyo.
Kama tv yako ni smart, hauto hitaji hicho.
Vinapatika eBay,Sijui tz
Nimejaribu kutumia moderm ya tigo kuunga net imeshindikana kwenye smart,nilipofuatilia nikaambiwa speed ya net inatakiwa isiwe chini ya 10MB,sasa kwa net zetu hizi sia.
hiyo 10MB MKUU namaanisha speed ya net si kifurushi
hiyo 10MB MKUU namaanisha speed ya net si kifurushi
Sasa angalia hizo speed ni MB/s wakati net zetu huku ni haizidi 500MB/s tena hapo tigo wawe wamefurahi sana