Tv yako ni plasma? Unataka iwe smart tv?

Tv yako ni plasma? Unataka iwe smart tv?

Sasa angalia hizo speed ni MB/s wakati net zetu huku ni haizidi 500MB/s tena hapo tigo wawe wamefurahi sana

Broadband Internet ndio nzuri na yenye speed kwa matumizi ya nyumbani kama tv,desk top computer 💻, hata kwa simu.
 
Ndugu yangu
Mb ni ndogo sana kwa tv, ili uweze kutumia tv yako vizuri, uwe na Internet unlimited. Kwa 10mb ni dakika chache tu pengine.
WiFi: 802.11 b/g /n.
Nafikiri alimaanisha 10Mbps
 
Ukisoma Led utafahamu vizuri, ni kwamba smart tv ina features na Internet, ambayo tv ya plasma haina vitu hivyo.

Led and lcd ni display tofauti, led display yake ni kama plastic, haina uhusiano wowote na Internet, ispokuwa iko katika quality tu ya display, led iko clear zaidi, na ukitaka kujua tv led Weka kidole chako katika display, halafu fanya kama una kivuta utaona kama maji yanakufuata au wino. Hio Ndio led.

Tv smart sio lazima utumie dongle, kwa sababu zinazo Internet na Bluetooth, Kama tv ya smart haina Bluetooth unaweza kutumia dongle, ili kuweza ku connect with phone, au ipad, tablet,notebook computer.

Ndugu, nafikiri haujui unacho kieleza. Inaonekana umevamia fani ambayo si yako. Kajipange uje tena maana naona hapa utapotosha watu bure.
 
Ndugu, nafikiri haujui unacho kieleza. Inaonekana umevamia fani ambayo si yako. Kajipange uje tena maana naona hapa utapotosha watu bure.

Sasa wewe unae jua eleza.
 
Ndugu, nafikiri haujui unacho kieleza. Inaonekana umevamia fani ambayo si yako. Kajipange uje tena maana naona hapa utapotosha watu bure.

Hata mi sijamuelewa.

Au anamaanisha LCD na LED tayari ni Smart TV,

Ila Plasma sio Smart TV then yeye sasa ndo anaifanya Plasma iwe Smart TV?
 
Hata mi sijamuelewa.

Au anamaanisha LCD na LED tayari ni Smart TV,

Ila Plasma sio Smart TV then yeye sasa ndo anaifanya Plasma iwe Smart TV?

Mi nadhani yupo sawa kwasababu iwe plasma,iwe LED au LCD kama ni Smart wanakuwa wame ilebo kabisa Smart ndio inakuwa na hizo features za internet lakini kwa bongo hapa sioni haja yakuwa na internet kwenye TV kwasababu simu tu zinazingua..
 
Nashukuru sana.

Hivyo vichwa hapo juu hawaelewi, wakati nimeshatoa maelezo ya kutosha.
Plasma ili iwe na mfumo kama smart tv ndio nimeeleza kuwa unaweza kutumia dongle mini pc au tv box mini pc ili kuweza kuwa smart.
Simple kabisa.
Led lcd ni different display tu,led ni display ambayo ipo clear zaidi , na inakuwa kioyoo chake kama plastic n.k
 
This-Android TV Box is based on Android 4.4, RK3188T Quad-core, 1G DDR3, 8GB Nand flash. Once connected this item to the HDMI interface of TV, it will converts the regular TV into a Smart TV which works like a giant tablet

Hii ndio description ya hio box, inaeleza kitu kiko wazi kabisa.

Nimeleta huu nakala kwa wale wenye tv ambazo sio smart, ili waweze kufaidika na kufahamu, smart tv zimetolewa karibuni tu, mi binafsi tv yangu miaka 5 ilio pita ndio nimenunua, ni 3D plasma inch 55.
Hivyo nilikuwa nataka ninunue mpya ambayo ni smart tv, nilipogundua kwamba naweza kutumia mini pc kwa kuifanya tv kuwa kama smart tv, sikuchelewa kuitafuta dongle. Nimevutiwa na dongle kuliko box mini pc kwa sababu, nikichomeka dongle nyuma ya tv hakuna atakae igundua tv yangu kama sio smart, everything hiding 😀😀😀:sly::sly:
 
Back
Top Bottom