Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri alimaanisha 10MbpsNdugu yangu
Mb ni ndogo sana kwa tv, ili uweze kutumia tv yako vizuri, uwe na Internet unlimited. Kwa 10mb ni dakika chache tu pengine.
WiFi: 802.11 b/g /n.
Ukisoma Led utafahamu vizuri, ni kwamba smart tv ina features na Internet, ambayo tv ya plasma haina vitu hivyo.
Led and lcd ni display tofauti, led display yake ni kama plastic, haina uhusiano wowote na Internet, ispokuwa iko katika quality tu ya display, led iko clear zaidi, na ukitaka kujua tv led Weka kidole chako katika display, halafu fanya kama una kivuta utaona kama maji yanakufuata au wino. Hio Ndio led.
Tv smart sio lazima utumie dongle, kwa sababu zinazo Internet na Bluetooth, Kama tv ya smart haina Bluetooth unaweza kutumia dongle, ili kuweza ku connect with phone, au ipad, tablet,notebook computer.
Ndugu, nafikiri haujui unacho kieleza. Inaonekana umevamia fani ambayo si yako. Kajipange uje tena maana naona hapa utapotosha watu bure.
Ghibuu, hizi smart tv ziko hapa bongo?
Na hicho kifaa ulichosema hapo juu kinapatikanaje au wapi na utakitumiaje?
Hata mi sijamuelewa.
Au anamaanisha LCD na LED tayari ni Smart TV,
Ila Plasma sio Smart TV then yeye sasa ndo anaifanya Plasma iwe Smart TV?
Mi nadhani yupo sawa kwasababu iwe plasma,iwe LED au LCD kama ni Smart wanakuwa wame ilebo kabisa Smart ndio inakuwa na hizo features za internet lakini kwa bongo hapa sioni haja yakuwa na internet kwenye TV kwasababu simu tu zinazingua..