francis kibiki JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 477 Reaction score 516 Feb 3, 2020 #1 wana jf poleni na mihangaiko ya maisha nilikuwa naomba kuuliza izi tv za home tech ubora wake upo vipi maana uwezo wa kugharamia samsung, LG wengine huo uwezo hatuna nilikuwa naomba kujuzwa ubora wa hizi tv upo vip Sent using Jamii Forums mobile app
wana jf poleni na mihangaiko ya maisha nilikuwa naomba kuuliza izi tv za home tech ubora wake upo vipi maana uwezo wa kugharamia samsung, LG wengine huo uwezo hatuna nilikuwa naomba kujuzwa ubora wa hizi tv upo vip Sent using Jamii Forums mobile app
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,041 Reaction score 13,907 Feb 3, 2020 #2 Huku wana chati vitu vya kijinga tu...hayo peleka kwa kule hivi