ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi zote za kombe La Ndondo,nini kimewashinda ngao ya hisani?Jamani hamasa ya michezo itatoka wapi kama hali ndio hii?pengine tuko sawa Sie watu wa La liga,EPL nk kwa jinsi tunavyofuatilia zaidi ligi zile kuliko hapa nyumbani,
Nimepitia Chanel kadhaa kuona labda ntakuta mechi matokeo nakuta wengine ndio kwanza wameweka mechi ya msimu uliopita!wengine Nigerian Movie....kweli wabongo tuko serious??...Bado tuna safari ndefu katika michezo hususan soka!Azam sports sikutegemea kama msingeonesha pambano hili I'li hali timu yenu inacheza na kibaya zaidi mmekua mkitutangazia mechi hii kwenye matangazo almost 2 weeks!