TV Zetu ni bora Kuonyesha Movie Ya Kinigeria Kuliko Kombe la Hisani?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi zote za kombe La Ndondo,nini kimewashinda ngao ya hisani?Jamani hamasa ya michezo itatoka wapi kama hali ndio hii?pengine tuko sawa Sie watu wa La liga,EPL nk kwa jinsi tunavyofuatilia zaidi ligi zile kuliko hapa nyumbani,

Nimepitia Chanel kadhaa kuona labda ntakuta mechi matokeo nakuta wengine ndio kwanza wameweka mechi ya msimu uliopita!wengine Nigerian Movie....kweli wabongo tuko serious??...Bado tuna safari ndefu katika michezo hususan soka!Azam sports sikutegemea kama msingeonesha pambano hili I'li hali timu yenu inacheza na kibaya zaidi mmekua mkitutangazia mechi hii kwenye matangazo almost 2 weeks!
 
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi zote za kombe La Ndondo,nini kimewashinda ngao ya hisani?Jamani hamasa ya michezo itatoka wapi kama hali ndio hii?pengine tuko sawa Sie watu wa La liga,EPL nk kwa jinsi tunavyofuatilia zaidi ligi zile kuliko hapa nyumbani,nimepitia Chanel kadhaa kuona labda ntakuta mechi matokeo nakuta wengine ndio kwanza wameweka mechi ya msimu uliopita!wengine Nigerian Movie....kweli wabongo tuko serious??...Bado tuna safari ndefu katika michezo hususan soka!Azam sports sikutegemea kama msingeonesha pambano hili I'li hali timu yenu inacheza na kibaya zaidi mmekua mkitutangazia mechi hii kwenye matangazo almost 2 weeks!
punguza munkari mkuu,kwaio ukitazama hili pambano ndio mtafanya vizuri olyimpic?simamia vipaumbele vyako,haya mambo hayatakusaidia chochote,
 
Sawa Lubede kama unafikiri hivyo basi wacha tuchangie madawati tu
 
Hivi Wa Nigeria kwao huko wanaweza acha uonyesha live mchezo wao wa ngao ya hisani na wakawea Bongo movie?
 
Hii ni kudhihirisha ni kiasi gani tuko mbali na michezo,na matokeo sasa ndio kama hivi ushiriki wetu olimpiki,mini kimepelekea kutorushwa live event kwa mchezo huu wa Leo?Azam mlirusha Live mechi zote za kombe La Ndondo,nini kimewashinda ngao ya hisani?Jamani hamasa ya michezo itatoka wapi kama hali ndio hii?pengine tuko sawa Sie watu wa La liga,EPL nk kwa jinsi tunavyofuatilia zaidi ligi zile kuliko hapa nyumbani,

Nimepitia Chanel kadhaa kuona labda ntakuta mechi matokeo nakuta wengine ndio kwanza wameweka mechi ya msimu uliopita!wengine Nigerian Movie....kweli wabongo tuko serious??...Bado tuna safari ndefu katika michezo hususan soka!Azam sports sikutegemea kama msingeonesha pambano hili I'li hali timu yenu inacheza na kibaya zaidi mmekua mkitutangazia mechi hii kwenye matangazo almost 2 weeks!
Kibali cha kuonyesha hiyo mechi walipewa TING peke yao
 
jaman muwe bhas waelewa,hayo mambo hayaendi kienyeji enyeji tu,mpaka mpira uonyeshwe kuna mambo mengi meng uwa yanafanyika,moja wapo ni haki ya kuonyesha hayo matangazo ya mpira,uwa wanalipia,na kuna takiwa kuwe na wadhamini,sio kwa sabab azam kampuni ndo wamiliki wa azam fc,bhas waonyeshe tu,hayo mambo hayaendi hvyo,
 
Na Azam wanajua fika asilimia kubwa ya wateja wao walituvuta kwa kutuaminisha katika matangazo "live" ya ligi ya nyumbani,na wamekuwa wakitangaza kuonesha pambano hili wiki nzima...sasa wanaacha kuonesha mapambano yenye msisimko ili waoneshe mechi gani?...najiuliza huku naandika.
 
jaman muwe bhas waelewa,hayo mambo hayaendi kienyeji enyeji tu,mpaka mpira uonyeshwe kuna mambo mengi meng uwa yanafanyika,moja wapo ni haki ya kuonyesha hayo matangazo ya mpira,uwa wanalipia,na kuna takiwa kuwe na wadhamini,sio kwa sabab azam kampuni ndo wamiliki wa azam fc,bhas waonyeshe tu,hayo mambo hayaendi hvyo,
Kwani mpira umechezwa kwa emergence?zaidi ya mwezi inajulikana tarehe ya mechi na isitoshe pambano la mvuto kama hili haliwezi kukosa wadhamini,mbaya zaidi wamekuwa wakiadvertise wiki nzima.
 
Pole broo, njoo ucheki mechi kwa simu yangu, hao azam wasikuzingue..
 
Madam nimeacha kwendaa mpirani nimeingia sebuleni kuangalia MUBASHARA azam tv nakuta muda unazidikutaradad.....kuja kustuka pambano linakaribia mapumziko.
Ngoja niuze hii tochi yangu ninunue kama hiyo yako niwe naangalia live.
 
Pole sana broda... Huna haja ya kuuza... Njoo nakugawia tu kupooza machungu ya kukosa mechi.
 
Muwe mnasikiliza na kufuatilia vyombo vya habari,TFF wameuza haki ya kurusha pambano hilo kwa Ting
 
Ila baada ya dk 90 nikaja kugundua ni bora sikwenda na wala sikuangalia live....(matokeo si rafiki au tuseme hayakuwa ya kiungwana)
 
Muwe mnasikiliza na kufuatilia vyombo vya habari,TFF wameuza haki ya kurusha pambano hilo kwa Ting
Tatizo ndio hilo hizi njaa zinatufanya tupige marktime miaka nenda rudi,nchi hii bado tupo nyuma sana Tff wanatakiwa kuutangaza Mpira wetu kwa mapana nchini ili kujenga hamasa hasa ya vizazi vijavyo
 
Back
Top Bottom