Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
Hiyo iko azamtvhdNa la liga vipi aisee wataonyesha?..maana ndio ligi bora duniani,
Hiyo iko azamtvhd
Swali zuri sana kiongozi, ZNZ wanaangalia epl kwa be I ndogo sana. Kwa nini??? Akikujibu niambie..Mkuu nimekuelewa inakuwaje Zanzibar wanaona zote na Dstv IPO kwa 10000 tu kupitia Zanzibar cable na coconut
sure?mechi moja jumamosi tu
Whynt star timesSafi sana,ukiritimba wa DSTV kwishney.Azam atauza ving'amuzi balaa
Yeah, nimeona itakuwa live leo saa 11 jioni. Angalau kwa kuanzia...TV1 wataonesha Mechi kati ya Everton vs Tottenham Hotspur
Game ya baadae mkuu ndio wataonyesha saa 11:00Hello wakuu wa nchi .Jana nilisikia kwenye TV 1 wataonyesha Live hii mechi kati ya Leicester city na Hull City ni kweli .maana siioni ,mwenye ufahamu zaidi please let's me know please.