Twaelekea wapi????

Twaelekea wapi????

Msamba

Member
Joined
May 27, 2016
Posts
13
Reaction score
2
Mr and mrs Daudi walishafariki kitambo sana daaaa nasikitika sana,Neema kipenzi ameshaolewa na Musa kawa jambazi sugu.jamani ni kitambo sana enzi zetu zileeeeeee! Matola anakula gizani
Hiii ndyo aaaa,aaaaaa,aaa inamkia mfupi aaaaa,aaaa na hii ndio OOO,OOOO,OoOO!iko kama yai OOOOOO,OOOOO!!! Hadi chozi lanitoka elimu yaelekea wapi???
 
Back
Top Bottom