JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Bondia Twaha Kiduku ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2022.
Mbali na mambo mengine, Kiduku alipoulizwa na mtangazaji akiwa kwenye zulia jekundu (red carpet) kuhusu yeye kupanda ulingoni na kuzichapa na bondia mwingine mkubwa, Hassan Mwakinyo, amejibu kwa kifupi kwamba ‘ni yeye tu’ akimaanisha kwamba yupo tayari muda wowote kupanda ulingoni na bondia huyo endapo atakubali.
Chanzo: Global TV