Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mapambano ya mbele mbona wanaenda mara nyingi tu, mara ya mwisho juzi tu hapa Lorren Japhet alikuwa mbele na ameshindaWakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected [emoji120][emoji120][emoji120]
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
Uelekeo wa boxer kibongo una elekea vizuri na unakua kwa kasi, kazi imebaki kwa maboxer wafanye sana mazoezi na wawe na nidham nje na ndani ya ring waachane na usela nnya,naona MO nae kishaingiza miguu kwenye boxing ni dalili nzuri sana kwa boxing.Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected [emoji120][emoji120][emoji120]
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
Ndo anaingia now, umelala?Ununu ununu
Namsubiri mandonga mtu kazi, leo atashinda, namuonea huruma kijana.