Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

Basi tu alimradi wapinge. Na unakuta wengine hata kutazama hawajatazama, yani alimradi tu naye achangie negativity ilomjaa.
Sahii kabisa,
Kiduku kastahili,

Japo mpinzani wake na alikua mzur Sana, anapigana kwa akili na kujitahid kucheza na jukwaa ili kumtoa kiduku mchezoni.

Kiduku angelegeza alikua anapigwa KO mapema mno,
 
Twaha ameshinda kihalali kabisa hajabebwa embu tumuheshimu huyu mwamba mimi katika mabondia wabongo ambao nawaelewa hawashindagi kwa mchongo ni huyu jamaa kwa kweli niliachaga kufuatilia ngumi baada ya bondia wa Philipino kuporwa ubingwa wake hapa bongo ila huyu Twaha ushindi wake haunaga maswali maswali ni mtu wa show show kweli.

Kwa mtu anajua ngumi hawezi mbeza yule Mmisri yule mwamba anajua ngumi na ana mbinu nyingi yeye anapiga kwa timing sana tena kwa akili nyingi ukienda hovyo hovyo kwake KO mapema kabisa ila Twaha alimsoma vizuri, mda mwingi alikuwa anakinga uso japo anafuata kwa tahadhari kubwa, alimuweza tu pale jamaa alipoanza kuchoka baada ya mbinu zake kujulikana.
 
Sahii kabisa,
Kiduku kastahili,

Japo mpinzani wake na alikua mzur Sana, anapigana kwa akili na kujitahid kucheza na jukwaa ili kumtoa kiduku mchezoni.

Kiduku angelegeza alikua anapigwa KO mapema mno,
Kabisa mkuu yule Mmisri ni bonding bora sana kifupi anaujua mchezo wa ngumi kifupi yule jamaa kashindwa kapoteza pambano sio kupigwa. Twaha ni bondia bora sana kwa sasa.
 
Kiduku atafutiwe na yeye mapambano ya nje ya nchi sasa ili tupate mbadala wa Mwakinyo kimataifa.
 
Wakuu leo kuna pambano la Ngumi Kati ya Kiduku na Muarabu anatoka Misri
.
Mimi ninachokiona ni Kwamba Hili hawa Vijana wetu Wawe Bora.
1. Wacheza Haya mapambano nje ya Tanzania pia ili tuone Ubora wanaouonesha wakiwa nje ya Tz.
.
2. Watafutiwe Mabondia wenye Ubora Zaidi.
.
Mabondia wengi wanaoletwa Huku Ni wale ambao hawana Ubora na ndio maana tunaona kama Mabondia wetu wana Ubora Zaidi.
.
Hivyo basi Ubora Huu wanaouonesha Huku Tanzania wakauoneshe pia nje ya Tanzania.
.
I stand to be Corrected [emoji120][emoji120][emoji120]
.
Hance Mtanashati screpa Nk Nk Nk
TvT watarusha za mgao
 
Back
Top Bottom