Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

Twaha Kiduku Vs Abdo Khalee | Ubabe Ubabe 2 | Nangwanda Sijaona, Mtwara | 24.09.2022

Kuna upuuzi mwingi sana Tanzania, wanasiasa wanapanda jukwaani (jukwaa la boxing) kuzungumzia mambo yao ya kisiasa lisaa lizima!!! Upuuzi huu utauona Tanzania pekee
 
Huyo mmisri asishinde ni dharau kwa vile ni fyamba ...mapambano ya mwisho kapigwa sana
 
Back
Top Bottom