Twaha kuduku is overrated ukweli ni bondia wakawaida sana

Kwamba hauoni akitamba Kwa Ibra Classic unataka wapigane uzito gani hao wawili!??
 
Namshauri ajiudhulu huo mchezo ili kulinda heshima yake.
 
Kwamba hauoni akitamba Kwa Ibra Classic unataka wapigane uzito gani hao wawili!??
Nimekuambia regardless ya weight yake, twaha kiduku super midle weight na ibra classic nu super feather, ila ibra akipanda kidogo tu bado anamkalisha Huyo twaha kiduku anytime, anyday, kiduku ni usugu tu unamsaidia ila ni bondia wa kawaida
 
anatafuta ugali, mwacheni aendelee kupewa mechi. ila kupigana bado sana, nadhani Tanzania hatuna bondia wa kujivunia kwa sasa.
 
Twaha ni msaka tonge tu kama walivyo wasaka tonge wengine kina mandonga nk- hana maajabu yoyote yale katika ndondi.
 
aongeze kocha mwingine, huyu aliyenae uwezo umeishia hapo, naona wadau wengi wanasema kiwangi kimegota, hapandi, habadiliki, anatabirika, na kwamba hawezi shida nje ya tz.
 
Kwa tunaojua ngumi, Twaha nilisema Toka zamani kuwa yule siyo bondia mwemye ujuzi wa ngumi.

Mambondia kwa Sasa hapa tz ni
1. H. Mwakinyo

2. S. Kidunda

3. I. Class
4. Majiha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…