Twaha kuduku is overrated ukweli ni bondia wakawaida sana

Ukweli usemwee juu ya mTanzania mwenzetu na mwanamichezo wa mchezo ngumi nchini ndugu Twaha kiduku kuhusu uwezo wake mdogo katika mchezo wa ndondi, naheshimu kipaji chake na kazi yake ya ngumi lakini baada ya kutazama pambano lake la Leo dhidi ya bondia mzee mwenye miaka 45,ndugu mohamed sebyala kutoka Uganda, na mapambano yake zaidi ya matano ya nyuma ikiwemo alilopoteza dhidi ya bondio kutoka south Africa inatosha kabisa kufanya analysis na kugundua huyu ni bondia wakawaida sana ambaye anapewa sifa nyingi za ubora ambao hana hata chembe.

Twaha kiduku ni boxer asiyekuwa na skills na inaonekana huwa hafati game plan za makocha wake, kwa kifupi ni bondia mkurupukaji ULINGONI anayerusha ngumi hovyo hovyo kama punguani . Anatumia nguvu nyingi kuliko akili na siku zote anategemea bahati nasibu ili kushinda. Simuoni Twaha kiduku akitamba kwa boxers kama Mwakinyo, ibra classic, mfaume mfaume, selemani kidunda, n.k, kama akipagana nao regardless ya weight class yake bado wanaweza kumtwanga kipigo cha mbwa koko.
Kwamba hauoni akitamba Kwa Ibra Classic unataka wapigane uzito gani hao wawili!??
 
Nimekuambia regardless ya weight yake, twaha kiduku super midle weight na ibra classic nu super feather, ila ibra akipanda kidogo tu bado anamkalisha Huyo twaha kiduku anytime, anyday, kiduku ni usugu tu unamsaidia ila ni bondia wa kawaida
 
Ukweli usemwee juu ya mTanzania mwenzetu na mwanamichezo wa mchezo ngumi nchini ndugu Twaha kiduku kuhusu uwezo wake mdogo katika mchezo wa ndondi, naheshimu kipaji chake na kazi yake ya ngumi lakini baada ya kutazama pambano lake la Leo dhidi ya bondia mzee mwenye miaka 45,ndugu mohamed sebyala kutoka Uganda, na mapambano yake zaidi ya matano ya nyuma ikiwemo alilopoteza dhidi ya bondio kutoka south Africa inatosha kabisa kufanya analysis na kugundua huyu ni bondia wakawaida sana ambaye anapewa sifa nyingi za ubora ambao hana hata chembe.

Twaha kiduku ni boxer asiyekuwa na skills na inaonekana huwa hafati game plan za makocha wake, kwa kifupi ni bondia mkurupukaji ULINGONI anayerusha ngumi hovyo hovyo kama punguani . Anatumia nguvu nyingi kuliko akili na siku zote anategemea bahati nasibu ili kushinda. Simuoni Twaha kiduku akitamba kwa boxers kama Mwakinyo, ibra classic, mfaume mfaume, selemani kidunda, n.k, kama akipagana nao regardless ya weight class yake bado wanaweza kumtwanga kipigo cha mbwa koko.
anatafuta ugali, mwacheni aendelee kupewa mechi. ila kupigana bado sana, nadhani Tanzania hatuna bondia wa kujivunia kwa sasa.
 
Twaha ni msaka tonge tu kama walivyo wasaka tonge wengine kina mandonga nk- hana maajabu yoyote yale katika ndondi.
 
aongeze kocha mwingine, huyu aliyenae uwezo umeishia hapo, naona wadau wengi wanasema kiwangi kimegota, hapandi, habadiliki, anatabirika, na kwamba hawezi shida nje ya tz.
 
Kwa tunaojua ngumi, Twaha nilisema Toka zamani kuwa yule siyo bondia mwemye ujuzi wa ngumi.

Mambondia kwa Sasa hapa tz ni
1. H. Mwakinyo

2. S. Kidunda

3. I. Class
4. Majiha.
 
Back
Top Bottom