LGE2024 Twaha Mwaipaya atikisa Kilombero

LGE2024 Twaha Mwaipaya atikisa Kilombero

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa

Hali ndio kama mnavyoiona

Screenshot_2024-11-23-21-38-38-1.png
Screenshot_2024-11-23-21-39-22-1.png
 
Bila shaka wanasema hivyo kwa vile wanawaua viongozi wa Chadema watakavyo
Hizi nyomi isiwe hoja, kwani siku zote CHADEMA huonyesha nyomi hata zaidi ya hizi.
Hoja sasa ni lazima iwe hizi nyomi zitafanya nin; Zitakuwepo kupiga kura na kukataa kura zao kuchezewa na wakala wa CCM?i
Halafu kuna mapimbi yanasema CDM imekufa.
CHADEMA inahitaji sana kujuwa njia nzuri za kuzishirikisha nyomi hizi kukataa unyonge inao fanyiwa na CCM na polisi wake.
Hili ndilo litakalo kuwa jibu sahihi la kumaliza matatizo ya uonevu wa CCM.
 
Hizi nyomi isiwe hoja, kwani siku zote CHADEMA huonyesha nyomi hata zaidi ya hizi.
Hoja sasa ni lazima iwe hizi nyomi zitafanya nin; Zitakuwepo kupiga kura na kukataa kura zao kuchezewa na wakala wa CCM?i
CHADEMA inahitaji sana kujuwa njia nzuri za kuzishirikisha nyomi hizi kukataa unyonge inao fanyiwa na CCM na polisi wake.
Hili ndilo litakalo kuwa jibu sahihi la kumaliza matatizo ya uonevu wa CCM.
Hili ndiyo kosa la CHADEMA kuamini nyomi wakati hilo nyomi linaishia kwenye mikutano na siyo kwenye sanduku la kura.

Kibaya zaidi hili nyomi ikitokea hata kiongozi wao ameonewa linatawanyika kwenda majumbani anabaki akijihangaikia mwenyewe.
Imagine Mbowe alikamatwa kama kuku katikati ya jiji la Dar na watu wakiwa wanamwangalia tu utadhani anapelekwa altareni.

Chadema wakifanya mikutano wanaishia kupost picha badala ya kile kilichosemwa kwenye mikutano, hivi ni Nani aliwadanganya hawa wajinga kuwa tunapiga kura kwa sababu ya nyomi na siyo kile wanachokisema ?
 
Back
Top Bottom