Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni alarming..... 2025 could be hazardous!Huyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
Cdm mtadumu kupambana na CUF lkn kwa CCM mnakwaa kisiki.
CCM haikamatiki
Inasemekana CHADEMA wanao wanachama milioni nane (8 milioni).Hili ndiyo kosa la CHADEMA kuamini nyomi wakati hilo nyomi linaishia kwenye mikutano na siyo kwenye sanduku la kura.
Kibaya zaidi hili nyomi ikitokea hata kiongozi wao ameonewa linatawanyika kwenda majumbani anabaki akijihangaikia mwenyewe.
Imagine Mbowe alikamatwa kama kuku katikati ya jiji la Dar na watu wakiwa wanamwangalia tu utadhani anapelekwa altareni.
Chadema wakifanya mikutano wanaishia kupost picha badala ya kile kilichosemwa kwenye mikutano, hivi ni Nani aliwadanganya hawa wajinga kuwa tunapiga kura kwa sababu ya nyomi na siyo kile wanachokisema ?
Masahihisho- Chadema ina wanachama hai mil 15Inasemekana CHADEMA wanao wanachama milioni nane (8 milioni).
Kama hili ni kweli, sasa najiuliza wanachama hawa ni wa aina gani huko ndani ya chama hiki?
Lakini hapo hapo siwezi kuwalaumu hawa wanachama; nalaumu uongozi unao kosekana kuwaongoza ummati huu mkubwa wa wananchi.
Tatizo lipo hapo.
Unaendelea kunitia huzuni mkuu 'Erytho', kwa taarifa yako kama hii.Masahihisho- Chadema ina wanachama hai mil 15
Sitajibu hoja yako kwa sasa ili kuepuka kutekwaUnaendelea kunitia huzuni mkuu 'Erytho', kwa taarifa yako kama hii.
Ni kichaa wa aina gani, asiye kuwa na akili kichwani anaye weza kuchezea halaiki ya aina hii, milioni 15.
Hii ni zaidi ya raia wote walioko kwenye nchi, kama Rwanda! Israel, kwani kuna watu wangapi?
Tunalo jeshi la polisi hapa, hata laki mbili hawafiki!
Na kumbuka, hakuna mtu anaye himiza hapa hiyo milioni 15 wakafanye vurugu! Tunasema hivi, kwa nini hiyo milioni 15 ikubali "UHALIFU", kuharibiwa kura zao na kuvurugiwa HAKI zao za kuwachagua viongozi wanao wataka wao?
Kwa nini tusijiulize haya maswali na kuyatafutia ufumbuzi? Kwa nini viongozi wa watu hawa, milioni 15 wasifanye kazi zao kwa karibu zaidi na watu hawa, ili matatizo yanayo wakabiri yashughulikiwe kwelikweli?
Binafsi ninge penda kupata jibu toka huko ndani ya CHADEMA, kuelezwa ugumu hasa upo wapi kutekeleza kazi hiyo.
Keyboard worrier at work!Ndicho tunachojipanga nacho
Team Roho Mbaya watanuna leoHuyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
Unataka kuua na hawa?K
Keyboard worrier at work!
Hawa wajinga ndio wanakuja PM kututishaUnataka kuua na hawa?
Ndiyo maana sikuelekeza maswali yangu kwako moja kwa moja.Sitajibu hoja yako kwa sasa ili kuepuka kutekwa
Katikisa sawa. Lakini nijuavyo mimi Wanachadema hawakujiandikishaHuyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
HahahaHawa wajinga ndio wanakuja PM kututisha
Sikubaliani kwenye hao wa kuvuruga mada, ila ni kweli kwamba ccm inawalipa watu kuja kuingilia mada zetu, lakini imeleta watu duni sana ambao hawana uwezo wowote wa kupambana na sisi mtandaoni.Ndiyo maana sikuelekeza maswali yangu kwako moja kwa moja.
Sehemu ya matatizo yanayo ikumba Sekretariati ya CHADEMA siku hizi ni kuto jihusisha kabisa na kutafuta maoni/ushauri maeneo mbali mbali. Kwa mfano, hapa JF walijiondoa kabisa; nadhani waliona ni upuuzi mtupu kuhangaika na mitandao kama hii!
Naelewa kwa jinsi CCM wanavyo hangaika kuleta wachafuzi wao humu JF; na wamefanikiwa sana kwa mbinu hiyo kuivuruga michango ya humu jukwaani. Enzi zile za Makene, kidogo hali ilikuwa ni tofauti na ilivyo sasa.
Sijui hili limetoka wapi!Ni vigumu mno kuitetea CCM kwa hoja hapa jf, Haiteteeki, na itakuwa ajabu sana kwa CHADEMA kuleta viongozi wa juu hapa ili kulumbana na watu wajinga kama akina Taitaan au kipara kipya
Sawa ila mmmmhHuyu kijana wa Bavicha amefika Kilombero kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa Chama chake kwenye Uchaguzi wa serkali za Mitaa
Hali ndio kama mnavyoiona
View attachment 3159913View attachment 3159914
Sasa mmejipangajeUnataka tuwaue kama wao wanavyofanya?