Twaha Mwaipaya azidi kuikomboa Kyela, Apiga mikutano 18 Non Stop, Wazee wamkubali

Kwamba Jiwe alikuwa muoga!! Nyie CHADEMA ndo maana mmesambaratishwa na mchaga mmoja tu wa Machame!!

Kwamba eti Jiwe alikuwa muoga!!? Huna akili
 
Jiwe alikuwa muoga kinoma!
 
Kwa jinsi "macho yake yanavyoona", siwezi kumbishia
 
Halafu kuna mwenyekiti yuvisisiemu yeye hoja yake kufunga mtandao wa X ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒakisimama mwenyewe hata watu 10 hapati
 
Kipindi chote wazee walikuwa hawajamkubali!
 
Halafu kuna mwenyekiti yuvisisiemu yeye hoja yake kufunga mtandao wa X ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒakisimama mwenyewe hata watu 10 hapati
Yule kijana ni duni sana hivi walimuokota wapi?
 
Sawa lakini mkae mkijua kuwa CCM kupitia Nape Nauye wameshasema kura zitakazohesabiwa na kutangazwa matokeo sio zile za kwenye sanduku la kupigia kura
 
Nape atasababisha Machafuko
 
Jembe na wewe kumbuka nishabariki ,uchaguzi ukifanyika 2025 nakuhitaji Bungeni, unafanya kazi iliyotukuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ