Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

BAKWATA ilianzishwa na Karume, aliombwa na Waislamu awe Mgeni Rasmi uzinduzi uliofanyika Iringa. Kabla ya hapo makao makuu ya Waislamu yalikuwa Nairobi chini ya Aga Khan.
 
Kwani ungekaa kimya nani angeujua wewe ni zuzu?
Taasisi za dini zikitaka kutoa/zungumzia,shughulika na siasa,zijisajili Kama vyama vya siasa,kila taasisi itoe tamko!..shirecu,uwamamata,geita gold fc,kiwanda Cha sukari kilombero,umoja wa bodaboda...hizo vurugu
 
Na unaitwa mzazi /una familia eti!
 
Attachments

  • 5498391-9bdf6eb3dbe2c1f4b94ff8a7f258f805.mp4
    5.8 MB
Bakwata ni sawa na UVCCM, ie ni umoja wa CCM Islam, kama ilivyo umoja wa CCM wanawake, Wazazi etc. CCM wamekwenda zaidi wameweka na umoja wa CCM- Uislamu. Wameshindwa tu kuwa na umoja wa CCM Ukristo
Duh 🙄 Hatar sn !
 
Kitabu kinaitwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…