Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

View attachment 2826262

Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa serikali hata kwenye makosa ya wazi kabisa.

Twaha ambaye kwa dini ni Muislam, amemsifu shehe Issa Ponda kwa ujasiri wa kukosoa bila woga huku akiwasifu TEC Kwa waraka za mara kwa mara bila uoga pale serikali inapoboronga.

=====
Swali langu: Je, ni kweli Bakwata ilianzishwa na Mwl Nyerere kwa kushirikiana na Paulo Bomani?
BAKWATA ilianzishwa na Karume, aliombwa na Waislamu awe Mgeni Rasmi uzinduzi uliofanyika Iringa. Kabla ya hapo makao makuu ya Waislamu yalikuwa Nairobi chini ya Aga Khan.
 
Kwani ungekaa kimya nani angeujua wewe ni zuzu?
Taasisi za dini zikitaka kutoa/zungumzia,shughulika na siasa,zijisajili Kama vyama vya siasa,kila taasisi itoe tamko!..shirecu,uwamamata,geita gold fc,kiwanda Cha sukari kilombero,umoja wa bodaboda...hizo vurugu
 
Kwani ungekaa kimya nani angeujua wewe ni zuzu?
Taasisi za dini zikitaka kutoa/zungumzia,shughulika na siasa,zijisajili Kama vyama vya siasa,kila taasisi itoe tamko!..shirecu,uwamamata,geita gold fc,kiwanda Cha sukari kilombero,umoja wa bodaboda...hizo vurugu
Na unaitwa mzazi /una familia eti!
 

Attachments

  • 5498391-9bdf6eb3dbe2c1f4b94ff8a7f258f805.mp4
    5.8 MB

Attachments

  • Screenshot_20231110-122641.png
    Screenshot_20231110-122641.png
    67.7 KB · Views: 2
Bakwata ni sawa na UVCCM, ie ni umoja wa CCM Islam, kama ilivyo umoja wa CCM wanawake, Wazazi etc. CCM wamekwenda zaidi wameweka na umoja wa CCM- Uislamu. Wameshindwa tu kuwa na umoja wa CCM Ukristo
Duh 🙄 Hatar sn !
 
Bakwata imejaa, mashushushu kibao, hata, Shekhar yahaya alikuwa informer/spy wa intelijensia, wapo pale kuhakikisha umma, wa ki Islam unabaki kuwa moderate and several haubsdiriki na, kuwa radical ,
Mwenye kuweza, atafute kitabu cha Rudovic Mwijage, mkimbizi wa kisiasa, aliukimbia utawala wa nyerere,
Kitabu kinaitwaje mkuu?
 
Back
Top Bottom