Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Screenshot_2024-09-01-09-38-43-1.png

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
HAkika mkuu.. mi ningeshauri vyama vya upinzani viachane na biashara kichaa ya kuwatetea wananchi..mpka pale ambapo wananchi wangejitambua na kuanza kupigania haki zao. Kuna umuhimu gan wa kuhatarisha maisha yako na familia yako kwa watu ambao hawajali?? Hata mkikamatwa hawaandamani kushinikiza mtolewe
 
Hizi ndio kauli muhimu Kwa Sasa.

Bahati nzuri Mahakama na Spika wa Bunge wamethibitisha kuwa watekaji siyo Vyombo vya Usalama. Kwa lugha NYINGINE watekaji ni Magaidi au maharamia au majambazi!!

Tuvisaidie Vyombo!! Ukiitwa nje usitoke kizembe
 
Mwasisi wa haya mambo ya kufuatiliana kwa nyuma kisha kuteka na kupoteza ni Magufuli wa chato sijui kwanini samia haya mambo hayakemei. Kwa sababu hawa wasiojulikana ni kitengo ndani ya mamlaka ya juu ya serikali
"Mimi na Magufuli ni kitu kimoja,CCM oyeeee!!! Na oye yenyewe oyeeee,kazi iendelee"
 
HAkika mkuu.. mi ningeshauri vyama vya upinzani viachane na biashara kichaa ya kuwatetea wananchi..mpka pale ambapo wananchi wangejitambua na kuanza kupigania haki zao. Kuna umuhimu gan wa kuhatarisha maisha yako na familia yako kwa watu ambao hawajali?? Hata mkikamatwa hawaandamani kushinikiza mtolewe
Vyama vya siasa wanao wajibu huo. Wanaishi Kwa Ruzuku ambazo ni Kodi za wananchi!!

Ni lazima wawajibike, kama hawataki wapishe hizo ofisi. Wengine hawataki hata kustaafu

Ushauri wako ni wa Kipumbavu.
 
Wa Dr Ulimboka na Chacha Wangwe?🐼
Hao uliowataja wote tuliwaona wangwe ni ajali... Kwa magufuli Azory, ben saa nane na wengine kutekwa na kunyanganywa hela kwenye acc kwa nguvu like Mohamed dewj, Yusuph ramadhan Manji(rip)
Wafanyabiashara wakubwa
na viongozi mbalimbali
Mwasisi wa haya yote na kinachoendelea kwa sasa ni Magufuli ameanzisha huu uovu
 
Acha utetezi wa kizamani!!

Nani alikwambia Chacha Wangwe alikufa Kwa ajali? Inaonekana wewe ni Kijichawa fulani hivi
 
Hao uliowataja wote tuliwaona wangwe ni ajali... Kwa magufuli Azory, ben saa nane na wengine kutekwa na kunyanganywa hela kwenye acc kwa nguvu like Mohamed dewj, Yusuph ramadhan Manji(rip)
Wafanyabiashara wakubwa
na viongozi mbalimbali
Mwasisi wa haya yote na kinachoendelea kwa sasa ni Magufuli ameanzisha huu uovu
Usihangaike na Wajinga
 
Back
Top Bottom