Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Twaha Mwaipaya: Nimejiridhisha kwa 100% kwamba nafuatiliwa na watu wabaya, wenye malengo mabaya dhidi yangu

Inatakiwa ifikie hatua,na wao tujue viwanja vyao na familia zao.
Kwani mnadhani wanalala kazini na familia zao?.
Kingine sio kwamba wanatembea pamoja,kinachotakiwa na wao kidili nao mmoja baada ya mwingine.

Inaitwa,ajitetee yeye na familia kivyake.
Sio kulia Lia tu haitosaidia.

Au kidili pia,na vihelehele wz ccm mmoja mmoja mwone kama sauti hazitopazwa.

Ukondoo umewajaa.

Undeni kikosi kazi,operation za kimya kimya,hao polisi ni vibaraka tu.
 
Hivi yule kijana aliyechoma picha yake yenye mchoro wa kufanana na Rais Samia alipatikana?
 
Ni vizuri viongozi wa vyama vya siasa hasa CHADEMA wakaamua kuachana na siasa za upinzani/mbadala na kumwelekeza msajili kufuta chama chao kwa manufaa ya wanachama wao wanaosemekana kutafutwa na hao watu wasiojulikana.
Na kama wataona inafaa kwa pamoja watangaze kujiunga na CCM kupitia Mkutano wao mkuu,kwa kuwa ili kuiondoa CCM madaraka ni sharti uwe ndani yake.
Soviet ilivunjika mwaka 1990,lakini leo iko juu kiuchumi na ushawishi katika Dunia kuliko vile ilivyokuwa zamani,wanasiasa wale wale hawawezi kutumika Kila siku kuiondoa CCM madaraka.
Vyama vya siasa viwekeze siasa zao kwa planning za muda mrefu,ikiwezekana wawe sehemu ya wenye maamuzi kuliko kubaki nje.
Sio dhambi kutafuta alternative za kushika Dola hata kama zitachukua muda mrefu ili mradi zisivuruge amani ya Nchi na Maendeleo.
Siku zote wananchi hawaitaji maneno matupu wanahitaji Maendeleo ya vitu vinavyoonekana na sio porojo na malalamiko ya wanasiasa.
Huo ni woga. Mimi naona Chadema waende na kanuni ya jino kwa jino,akiuwawa mwana Chadema wauwawe maccm kumi,na hao hao polisi kwa vile wengi wanaishi uraiani nao wafanyiziwe wao na familia zao.
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Nakuunga mkono.
Unakumbuka tajiri wa Mabasi ya Zacharia Mr Zacharia, aliwalamba chuma, hakuwa na shabaha aliwajeruhi ama kuwakosa, nimesahau kuunga stori ilivotokea.

Alikuja kushitakiwa na kesi nyingine kabisa, na si ya kutaka kuuwa hao mbwa.

Lakini siku hiyo angelitii amri bila shuruti kwenda nao, leo angelikuwa ni historia.
 
VITENDO VYA UTEKAJI NA WATOTO KUPOTEA VINATUKWAZA MNO WATANZANI.

HILI NI TATIZO KUBWA SANA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA.
 
Mimi nadhani ungenyoosha maelezo! Wewe shida yako ni kuwashwa tu. Huenda kuna tundu mojawapo kwenye mwili wako linakuwasha sana. Na hivyo unatafuta kijanja mtu wa kukusaidia kulikuna.
Usingekuwa sh*ga usingekuwa na mawazo kama yao! Ahahahahaha!!
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Ulishawai kuona Mkurya ametekwa? Walijaribu kipindi cha Magu kumteka Boss Zakaria, kilichowapata wanajua hadi kesho
 
Usingekuwa sh*ga usingekuwa na mawazo kama yao! Ahahahahaha!!
Tangu ulipo ni quote kwa mara ya kwanza, wewe ni kujichekesha chekesha tu na kunibinulia kiuno!
Nimekuuliza kama unawashwa mahali, useme ili nikukune!! Hutaki kunyoosha maelezo!
 
Hata kama ndiyo hayupo ila yeye ndiye aliye ionesha tanzania kwamba kumbe inawezekana kumteka mtu na kumuua na asijulikane alipo milele.
Wewe Una chuki naye tu... Kuasisi.... Absalom Kibanda, Dr. Ulimboka, orodha ni ndefu Mabwepande ilijulikana kutokana na utekaji. Umekomaa Magu aliasisi...
 
Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Kwanini wasubiriwe mpaka waje na wakati wanafahamika?

Hicho kikosi kazi kiundiwe kikosi kazi.
 
Wewe Una chuki naye tu... Kuasisi.... Absalom Kibanda, Dr. Ulimboka, orodha ni ndefu Mabwepande ilijulikana kutokana na utekaji. Umekomaa Magu aliasisi...
Elewa kilicho andikwa kwan absolomon na ulimboka wallipotea kama ilivyo kwa ben saanane? Halafu mimi nampenda sana magufuli kwenye mambo mengi sana lakini hainifanyi niwe kipofu kwa maovu yake.
 
Elewa kilicho andikwa kwan absolomon na ulimboka wallipotea kama ilivyo kwa ben saanane? Halafu mimi nampenda sana magufuli kwenye mambo mengi sana lakini hainifanyi niwe kipofu kwa maovu yake.
Kuteka na kuua hakujaanza awamu ya tatu... Na huwezi kulaumu Magufuli kwa yanayofanyika katika utawala wa awamu ya sita. Hiyo ndo wanaita selective outrage.... Face the reality. Magu is gone... He is not in charge. Hajatunga sheria ya Kuteka.
 
IMG_0008.jpeg
 
Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.

Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.

Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .

Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?
Drama nyingi, kuzua taharuki, kutafuta umaarufu kisiasa.
 
Back
Top Bottom