Huo ni woga. Mimi naona Chadema waende na kanuni ya jino kwa jino,akiuwawa mwana Chadema wauwawe maccm kumi,na hao hao polisi kwa vile wengi wanaishi uraiani nao wafanyiziwe wao na familia zao.Ni vizuri viongozi wa vyama vya siasa hasa CHADEMA wakaamua kuachana na siasa za upinzani/mbadala na kumwelekeza msajili kufuta chama chao kwa manufaa ya wanachama wao wanaosemekana kutafutwa na hao watu wasiojulikana.
Na kama wataona inafaa kwa pamoja watangaze kujiunga na CCM kupitia Mkutano wao mkuu,kwa kuwa ili kuiondoa CCM madaraka ni sharti uwe ndani yake.
Soviet ilivunjika mwaka 1990,lakini leo iko juu kiuchumi na ushawishi katika Dunia kuliko vile ilivyokuwa zamani,wanasiasa wale wale hawawezi kutumika Kila siku kuiondoa CCM madaraka.
Vyama vya siasa viwekeze siasa zao kwa planning za muda mrefu,ikiwezekana wawe sehemu ya wenye maamuzi kuliko kubaki nje.
Sio dhambi kutafuta alternative za kushika Dola hata kama zitachukua muda mrefu ili mradi zisivuruge amani ya Nchi na Maendeleo.
Siku zote wananchi hawaitaji maneno matupu wanahitaji Maendeleo ya vitu vinavyoonekana na sio porojo na malalamiko ya wanasiasa.
Of course nina shida na watoa hoja za kipumbavu kama nyie! Ahahahahaha!!!Wewe una shida mahali. Siyo bure.
Nakuunga mkono.Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Mimi nadhani ungenyoosha maelezo! Wewe shida yako ni kuwashwa tu. Huenda kuna tundu mojawapo kwenye mwili wako linakuwasha sana. Na hivyo unatafuta kijanja mtu wa kukusaidia kulikuna.Of course nina shida na watoa hoja za kipumbavu kama nyie! Ahahahahaha!!!
Usingekuwa sh*ga usingekuwa na mawazo kama yao! Ahahahahaha!!Mimi nadhani ungenyoosha maelezo! Wewe shida yako ni kuwashwa tu. Huenda kuna tundu mojawapo kwenye mwili wako linakuwasha sana. Na hivyo unatafuta kijanja mtu wa kukusaidia kulikuna.
Ulishawai kuona Mkurya ametekwa? Walijaribu kipindi cha Magu kumteka Boss Zakaria, kilichowapata wanajua hadi keshoIfikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Tangu ulipo ni quote kwa mara ya kwanza, wewe ni kujichekesha chekesha tu na kunibinulia kiuno!Usingekuwa sh*ga usingekuwa na mawazo kama yao! Ahahahahaha!!
Wewe Una chuki naye tu... Kuasisi.... Absalom Kibanda, Dr. Ulimboka, orodha ni ndefu Mabwepande ilijulikana kutokana na utekaji. Umekomaa Magu aliasisi...Hata kama ndiyo hayupo ila yeye ndiye aliye ionesha tanzania kwamba kumbe inawezekana kumteka mtu na kumuua na asijulikane alipo milele.
Kwanini wasubiriwe mpaka waje na wakati wanafahamika?Ifikie wakati Watanzania waache kuwa kondoo. Kama serikali kupitia jeshi la polisi imekana kuhusika na hivyo vitendo! kwa nini wananchi wasijitetee? Hao watu wakija, piga mapanga tu halafu tuone kama utashitakiwa.
Elewa kilicho andikwa kwan absolomon na ulimboka wallipotea kama ilivyo kwa ben saanane? Halafu mimi nampenda sana magufuli kwenye mambo mengi sana lakini hainifanyi niwe kipofu kwa maovu yake.Wewe Una chuki naye tu... Kuasisi.... Absalom Kibanda, Dr. Ulimboka, orodha ni ndefu Mabwepande ilijulikana kutokana na utekaji. Umekomaa Magu aliasisi...
Kuteka na kuua hakujaanza awamu ya tatu... Na huwezi kulaumu Magufuli kwa yanayofanyika katika utawala wa awamu ya sita. Hiyo ndo wanaita selective outrage.... Face the reality. Magu is gone... He is not in charge. Hajatunga sheria ya Kuteka.Elewa kilicho andikwa kwan absolomon na ulimboka wallipotea kama ilivyo kwa ben saanane? Halafu mimi nampenda sana magufuli kwenye mambo mengi sana lakini hainifanyi niwe kipofu kwa maovu yake.
Inataka kutumbukia Shimoni hivi hivi kama mchezo mchezo tu !Hii nchi sasa ni hatari kuishi.
Drama nyingi, kuzua taharuki, kutafuta umaarufu kisiasa.Kama mmepanga kuniteka msitumie nguvu kubwa mpaka kuja nyumbani kwangu na kudanganya mambo mengi, najua hakuna atakae ishi milele ila endapo mtatoa roho yangu wapeni fursa ndugu zangu ya kuzika mwili wangu, yule kijana mliemtuma jana saa 5:00 asubuhi alievaa kapero na T-shirt nyekundu mwambieni asirudi tena nyumbani kwangu tutagawana majengo ya Serikali.
Kikosi kazi cha Utekaji na Mauaji ya Wanaoikosoa Serikali ya CCM, Kinachoongozwa na Faustin Mafwele (Kama tulivyodokezwa na Freeman Mbowe), Kingali kazini.
Soma Pia: Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji
Anayefuatia kutekwa na kuuawa ni Kiongozi wa Bavicha mwenye Ushawishi Twaha Mwaipaya .
Lakini Je, Wataua Wangapi na wao wataishi hadi lini?