Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

..sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa Cdm.

..Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Raisi amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tz.

@Twaha_Mwaipaya amekuwa anataka sana kujenga jina lake ndani ya CHADEMA kwa ajili ya malengo ya baadaye. Hii siyo bahati mbaya yeye kuwa mikononi mwa Polisi. Hicho ndiyo alikuwa anakitaka. Tusubiri kama kweli atakuja kuwa kiongozi mkubwa kisa aliwekwa rumande.

Huyu @Twaha_Mwaipaya anataka umaarufu kama wa @mdude_chadematz wa kutukana halafu kukamatwa na kwenda rumande. Kuweni careful na hawa vijana watawaharibia chama
 
Sasa kama JPM amekufa and it's business as usual, why do (or at least did) we attribute haya yote kwa JPM?

..Jpm alikoleza mambo ya kikatili.

..Pia ilikuwa nadra kuzungumza lugha ya maridhiano au haki baina ya vyama.

..Ndiyo maana ikaonekana ukatili wa vyombo vya dola una baraka zake.

..Sasa ili Ssh asije akalaumiwa na kulaaniwa kama Jpm ni vizuri akakomesha tabia hii kabla haijarudi ktk viwango vya awamu ya 5.
 
@Twaha_Mwaipaya amekuwa anataka sana kujenga jina lake ndani ya CHADEMA kwa ajili ya malengo ya baadaye. Hii siyo bahati mbaya yeye kuwa mikononi mwa Polisi. Hicho ndiyo alikuwa anakitaka. Tusubiri kama kweli atakuja kuwa kiongozi mkubwa kisa aliwekwa rumande.
Huyu @Twaha_Mwaipaya anataka umaarufu kama wa @mdude_chadematz wa kutukana halafu kukamatwa na kwenda rumande. Kuweni careful na hawa vijana watawaharibia chama

..huyu jamaa mbona ni muungwana?

..hebu tuonyeshe walau clip ya Mwaipaya akifanya fujo au akitukana.

NB:

..je, kosa la kutukana linaruhusu kumshikilia mtuhumiwa bila kumfikisha mahakamani kama inavyofanyika kwa Mwaipaya?

..Je, sheria gani iliruhusu kumteka na kumtesa Mdude Nyagali? Na mbona mahakamani Dpp ameshindwa kuthibitisha hayo unayoyasema?
 
shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala

Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....

Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
 
..Je, unapenda unyanyasaji na ukatili wanaofanyiwa vijana wa Cdm?

..Je, ni wapi wamedhihaki watawala?

..Sheria inasemaji kuhusu dhihaka kwa watawala au mtu yeyote?

..Na mtawala akidhihakiwa ni halali kumkamata mtuhumiwa kwa namna ambavyo Polisi wanakamata vijana wa Cdm?

..Je, hakuna uwezekano kwamba vijana wa Cdm wanadhihaki watawala kwasababu ya matendo ya kiovu wanayofanyiwa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola?
 
Rais kwa mamlaka yaje ana uwezo wa kuondoa hali hiyo, lakini kwa mapenzi yake ameamua kukaa kimya, huyu anajihujumu mwenyewe, na yale maridhiano ni usanii tu alishasema wananchi hawali maridhiano, hapo inayotembea ni ile kauli yake ya ukinipara.. nitakuparua.

Kumtetea Samia kwenye hili ni sawa na kuendelea kulea tatizo, na madhara ya haya mahaba yenu yaliyopitiliza ndio kikwazo cha mabadiliko yanayotakiwa, punguzeni mahaba mtumie akili zenu kutafakari, Samia sio mtoto mdogo.
 
shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala
Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....
Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
Ni kweli lakini je sheria inasemaje kwa mtu anayefanya hivyo, inasema atekwe, asipewe dhamana na ikiwezekana apotezwe?
Hapa point ni kwamba haijalishi kosa linamhusu nani, sheria ifuatwe.
 
Kuna shida gani kudhihaki watawala?
Kuna shida gani kufanya siasa za uhanarakati?
Ujinga na ushamba mtupu.
shida ya vijana wa chadema ni kudhiaki watawala, hii tabia ata mimi sipendi hata kidogo, hebu tuhame kwenye siasa za uhanarakati tuwe na mawazo mbadala
Pia kuna umuhimu wa kufanya boot camp ili vijana wanaandaliwa kuwa viongozi wa baadae chadema waandaliwe na kupewa mafunzo ya siasa ndani na nje ya nchi....
Chadema ina political ideology nzuri sana kuliko vyama vyote,ila hii ya bavicha propaganda ,Hapana kwa kweli......wanajijenga wao binafsi na kutafuta umaarufu kila hoja waowapo tu
 
@Twaha_Mwaipaya amekuwa anataka sana kujenga jina lake ndani ya CHADEMA kwa ajili ya malengo ya baadaye. Hii siyo bahati mbaya yeye kuwa mikononi mwa Polisi. Hicho ndiyo alikuwa anakitaka. Tusubiri kama kweli atakuja kuwa kiongozi mkubwa kisa aliwekwa rumande.
Huyu @Twaha_Mwaipaya anataka umaarufu kama wa @mdude_chadematz wa kutukana halafu kukamatwa na kwenda rumande. Kuweni careful na hawa vijana watawaharibia chama
Kwahiyo wewe unafurahia akiuawa au akiteswa bila kufikishwa mahakamani!
 
Rais kwa mamlaka yaje ana uwezo wa kuondoa hali hiyo, lakini kwa mapenzi yake ameamua kukaa kimya, huyu anajihujumu mwenyewe, na yale maridhiano ni usanii tu alishasema wananchi hawali maridhiano, hapo inayotembea ni ile kauli yake ya ukinipara.. nitakuparua.

Kumtetea Samia kwenye hili ni sawa na kuendelea kulea tatizo, na madhara ya haya mahaba yenu yaliyopitiliza ndio kikwazo cha mabadiliko yanayotakiwa, punguzeni mahaba mtumie akili zenu kutafakari, Samia sio mtoto mdogo.
Hawezi kukuelewa.
 
Raisi amesema anatekeleza mambo manne ktk siasa zetu.

1. Reconciliation.
2.Recilience.
3.Reform.
4.Rebuild.

Yanayofanywa na Polisi yanakwenda kinyume na malengo ya Raisi.
Upo kwenye usingizi mzito sana
Bahati mbaya huwezi kutofautisha kati ya kusema na kutenda.
Jk alifanya maridhiano na wapinzania, Ila kilichotokea 2015 unalijua
Jiwe alikuja na style ya Maendeleo hayana chama, ili kilichotokea unakijua

Uzuri hawa viongozi wameshatujua jinsi tulivyo
 
Back
Top Bottom