Mkuu hii kusingizia wasaidizi/masalia naona kama inaanza kuwa excuse ya uongo...amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Raisi Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Huu ndio ukweli wenyewe@Twaha_Mwaipaya amekuwa anataka sana kujenga jina lake ndani ya CHADEMA kwa ajili ya malengo ya baadaye. Hii siyo bahati mbaya yeye kuwa mikononi mwa Polisi. Hicho ndiyo alikuwa anakitaka. Tusubiri kama kweli atakuja kuwa kiongozi mkubwa kisa aliwekwa rumande.
Huyu @Twaha_Mwaipaya anataka umaarufu kama wa @mdude_chadematz wa kutukana halafu kukamatwa na kwenda rumande. Kuweni careful na hawa vijana watawaharibia chama
Hii ni mentality ya uoga wa kudhani kwamba wakimfichia makosa yake iko siku atawabeba, wakati ukweli ni tofauti wengine wanaendelea kuteseka tu.Mkuu hii kusingizia wasaidizi/masalia naona kama inaanza kuwa excuse ya uongo.
Haiwezekani jambo likiwa zuri linakua la raisi, alafu likiwa baya ni la wasaidizi
Ndio mnapofeli kaka. Endeleeni kuamini hivyo, sisi tutawakumbusha...amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Hata kama mtu kavunja sheria basi aachiwe tuRaisi amesema anatekeleza mambo manne ktk siasa zetu.
1. Reconciliation.
2.Recilience.
3.Reform.
4.Rebuild.
Yanayofanywa na Polisi yanakwenda kinyume na malengo ya Raisi.
Mimi hapa ndipo Chadema siwaelewi. Badala ya kuweka nguvu zao kuhakikisha wanachama wao waliokamatwa kwa sababu za kisiasa, wao wanawang'ang'ania wakina Halima! Nilitarajia Mwenyekiti na KM wangekuwa mstari wa mbele kukumbusha umma kuwa kuna watu wao bado wako ndani. Kwa maoni yangu hali hii inawapa justification hata ya kusimamisha mazungumzo ya maridhiano kuliko ya wakina Halima. Wanatakiwa waonyeshe uchungu ule ule walioonyesha Mwenyekiti wao alipokamatwa.Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA.
Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
Acha uongo, heshimuni mamlaka na sheria za nchi. Mama amebadilisha viongozi wote na kuweka watendaji wake kwa uchambuzi mpya...amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Kumbe sasa nmegundua Magufuli alikuwa na nguvu sana. Na Rais aliyepo sasa ni dhaifu sana. Kama amekufa mwaka 1 umepita ila mpaka sasa effect yake inaonekana then he was so powerful and the one we have atakuwa weak sana kama anayumbishwa kiasi hicho. Rais kama Rais anahujumiwaje? Ni kumdhalilisha Rais. Ina maana hajui hata kinachoendelea? Anawaogopa masalia wa Magufuli? Sasa anaweza nini? 😀R..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Kwa hiyo kwa sasa Rais hana nguvu kabisa? Bado anazidiwa na waliobaki kipindi cha Magufuli? Atakuwa dhaifu sana.R..amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Hayo ni mawazo finyu.@Twaha_Mwaipaya amekuwa anataka sana kujenga jina lake ndani ya CHADEMA kwa ajili ya malengo ya baadaye. Hii siyo bahati mbaya yeye kuwa mikononi mwa Polisi. Hicho ndiyo alikuwa anakitaka. Tusubiri kama kweli atakuja kuwa kiongozi mkubwa kisa aliwekwa rumande.
Huyu @Twaha_Mwaipaya anataka umaarufu kama wa @mdude_chadematz wa kutukana halafu kukamatwa na kwenda rumande. Kuweni careful na hawa vijana watawaharibia chama
Amevunja sheria gain mpaka akatekwa.Hata kama mtu kavunja sheria basi aachiwe tu
Mimi nimezama kwa Raisi wangu.mahaba yenu yaliyopitiliza
Rais wa Tanzania huwa hakosei.Mkuu hii kusingizia wasaidizi/masalia naona kama inaanza kuwa excuse ya uongo.
Haiwezekani jambo likiwa zuri linakua la raisi, alafu likiwa baya ni la wasaidizi
Salia moja wapo ni SSH mwenyewe, nae afurumushwe ili huu ukatilii uishe...amekufa lakini bado kuna masalia ya watendaji wake wanamhujumu Rais Ssh.
..Rais afurumushe masalia wote wasiotaka kwenda na spirit mpya ya haki na maridhiano.
Erythrocyte
Acha uongo, heshimuni mamlaka na sheria za nchi. Mama amebadilisha viongozi wote na kuweka watendaji wake kwa uchambuzi mpya.
Mimi hapa ndipo Chadema siwaelewi. Badala ya kuweka nguvu zao kuhakikisha wanachama wao waliokamatwa kwa sababu za kisiasa, wao wanawang'ang'ania wakina Halima! Nilitarajia Mwenyekiti na KM wangekuwa mstari wa mbele kukumbusha umma kuwa kuna watu wao bado wako ndani. Kwa maoni yangu hali hii inawapa justification hata ya kusimamisha mazungumzo ya maridhiano kuliko ya wakina Halima. Wanatakiwa waonyeshe uchungu ule ule walioonyesha Mwenyekiti wao alipokamatwa.
Amandla....