Twalia na boom!

Twalia na boom!

Mgwadila

Member
Joined
Apr 18, 2014
Posts
60
Reaction score
12
Wanafunzi wa elimu ya juu hatujapewa hela zetu za mkopo,najiuliza kulikoni? katika utawala jambo la utoaji wa taarifa huwa ni muhimu watu angalau wapate matumaini! Au tunabaguliwa kwkuwa sio vyuo vya serikali?mana UDSM,MKWAWA,DUCE wamepewa ila STEMMUCO hatujapewa
 
Back
Top Bottom