October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Siye twampenda. Hehehe! Siye 32M twamtaka aje ziarani atuhutubie jamani. Twampenda jamani! Nye mwamfichiani?
Majeshi yapo hehehe. Mwamhofia nani Nye. Hehehe. Mwafikiri tutajillipua tujitoe mhanga hehehee. Mwafurahisha siye twapata wapi mabomu siye. Au mwafikiri tutamdungua heheheee. Siye maskini siye. Nye wadunguaji wote mkonao. Mwahofia nini.
Walahi mwachekesha. Mayii. Lakini tulieni kidogo najuzwa bado Redcross wanatafuta mupenyo. Hehehe. Mayii. Ukisikia nyaaaa ujue manyoya. Hehewhehe. Mayii na bado